jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
HaswaaaHaya... ila nyie nooma mnafufuka na yesu
HaswaaaHaya... ila nyie nooma mnafufuka na yesu
TehtehHa ha ha ha hapa mzee mtanisamehe kwanza maana we mwenyewe Umeona jinsi alivyo
Muje na neema zitubakie na sisi bwanaHaswaaa
Wenzako tumepima na tuna pesaHaaaaahh haaaaahh.! Kama ni mwanamke na ulikuwa unatia vocal basi ili usiondoke na kitu inayokaba roho unamjibu "sina hela ila nimepima Ngoma"

Sawa kbsa shem tutapita bila kukosa. Hebu ngoja kuna kitu tunnafanya nitarudMuje na neema zitubakie na sisi bwana

Mmmh. HayaSawa kbsa shem tutapita bila kukosa. Hebu ngoja kuna kitu tunnafanya nitarud![]()
Sawa kbsa shem tutapita bila kukosa. Hebu ngoja kuna kitu tunnafanya nitarud![]()

Pole mkuu nimecheka hi ho kingereza hakikuwa kama cha yule mwenye PhD alieshndwa kutamka ipasavyo bungeni..maana hawa watoto kwa kujifanya wanajua lughakuna msichana aliwah niambia@ i don't care how handsome you are,but what matter is money,do you have money?
beautiful mind dah umekuwa wa tofaut nimefall na comment yakoKwangu mimi mapenzi yanakuja first, huyo handsome unaweza kumpa support yote kama hakupendi, kuna siku atakuliza. Huyo mwenye pesa kama hakupendi kuna siku atakunyanyasa.

Halafu anakuangalia kuanzia chini miguuni hadi kichwani huku amebinua midomo..akiamua kwenda zaidi anasonyaa..dahWangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.
Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
Anaekuomba laki tatu ya saluni mwambie akafie mbele!!!Jibu unazo halafu uombwe laki 3 ya saloon mkuu,,,,, hapo ndio utajua kama kila mtu ana hela au la
Afu anakuuliza UNA HELA WEWE?Halafu anakuangalia kuanzia chini miguuni hadi kichwani huku amebinua midomo..akiamua kwenda zaidi anasonyaa..dah
Leo mchepuko wako ndiye anatumia hii ID eeehNiliukizwa na miss chagga nikapanga nimuwekee mil 2 mezani akakimbia akawa muonga.
Mxiuuuu!
Na anakumalizia na msonyo wa kufa mtu, khaaa!! Hizi hela zina laana gani jamani!!!?Anaekuomba laki tatu ya saluni mwambie akafie mbele!!!
Mchepuko wangu ni mahondaw sema hataki watu wajue ukimtaja tu ana mwaga povu balaaLeo mchepuko wako ndiye anatumia hii ID eeeh