jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Shemeji usitaniwee..haya basi nimefuta. Mbona leo hamjanialika kilau cha sikukuu
Shem tuko hun moon hatuhitaji rafiki. Tunasherekea kufufuka kwa Yesu
Shemeji usitaniwee..haya basi nimefuta. Mbona leo hamjanialika kilau cha sikukuu
Daaaah kwahyo watu waliokota dodo kwenye mnazi daahHahahahahaha bhana sijawah muona b4. Hivyo alivyo gentleman na maneno yake tu mie hoi siku hiyo hiyo ya kwanza duuuh
Upande upi shem maana naona kama mm ndio niliokotaDaaaah kwahyo watu waliokota dodo kwenye mnazi daah

Ni kumwambia kuhusu pesa asitie shaka zipo hata kama hazipo..then unakula unatembea.Weee Daby, una hela wewe?
Dah huo mtoko ni exclusive au tunaweza kujiongezanataka nitoke sa hivi nimechoka humu ndani
Nikajua nmeanza uchoyo mim...Shem tuko hun moon hatuhitaji rafiki. Tunasherekea kufufuka kwa Yesu
nipo aloneDah huo mtoko ni exclusive au tunaweza kujiongeza
Mzee acha kabisa hapo sasa ndio ukiulizwa una Hela utazimia maana inataka uwe na Hela na pumzi piaMzee ebu angalia avatar ya beibi wako then leta mrejesho
Daaaaah shem unasemaaaaa sijasikia vzurUpande upi shem maana naona kama mm ndio niliokota![]()
Hajavaa kitu au ni macho yangu.. maana haya macho yakishaona miss bantu yanajiona X-ray bwanaMzee acha kabisa hapo sasa ndio ukiulizwa una Hela utazimia maana inataka uwe na Hela na pumzi pia
Hapana kwako siwez fanya hivyo. Et wifi? Shem lkn niweke wazi bhanaNikajua nmeanza uchoyo mim...
Wifi yako anakusalimia lkn
Unasemaaaa daah embu ngoja nije piemu kwanza tuyaweke Sawanipo alone
Haaaa nimesemaje tenaaaDaaaaah shem unasemaaaaa sijasikia vzur
Ukuje nyumbani umwone wewe unamuulizia njiani... mkimaliza hanimuni mujeHapana kwako siwez fanya hivyo. Et wifi? Shem lkn niweke wazi bhana
Ha ha ha ha nshapewa exclusive rights so tulia uite shemej tu Hakuna namnaHajavaa kitu au ni macho yangu.. maana haya macho yakishaona miss bantu yanajiona X-ray bwana
Tutapitia shem for sureUkuje nyumbani umwone wewe unamuulizia njiani... mkimaliza hanimuni muje
Umesema pilau la sikukuu limeishaHaaaa nimesemaje tenaaa
Campany sloganHa ha ha ha nshapewa exclusive rights so tulia uite shemej tu Hakuna namna
Ha ha ha ha hapa mzee mtanisamehe kwanza maana we mwenyewe Umeona jinsi alivyoCampany slogan
Sharing is Caring
Sharing is charity but not to zet eksitent.
Haya... ila nyie nooma mnafufuka na yesuTutapitia shem for sure