Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,266
Mi sina mkuuUna hela wewe?
Mi sina mkuuUna hela wewe?
Kariakoo, anaenda kuulizwa UNA HELA WEWE?Hahaha...
Leo wapi sasa
At least wewe anafikiri labda unaweza kuwa nazo. Wengine huwa hatuulizwi hivyo kwasabsbu wakituona tu wanajua huyu pangu pakavu.Wangapi wameulizwa hivyo? Ni swali baya sana linadhalilisha sana utu, anayeuliza hivyo kwa namna moja ama nyingine ana kasoro kibao uwe na hela usiwe na hela.
Malipo ni hapa hapa duniani, jenga heshima kwa kila mtu usimdharau mtu eti hana hela, jamani!!!?
Leo nipo na mahondawHahaha...
Leo wapi sasa
Pole mkuu hela inaanzia shilingi moja hata hiyo huna mkuu? Nauliza tuMi sina mkuu
hahahaaaaa,,nkamwambia ucjar,,,i wl make itPole mkuu nimecheka hi ho kingereza hakikuwa kama cha yule mwenye PhD alieshndwa kutamka ipasavyo bungeni..maana hawa watoto kwa kujifanya wanajua lugha
Leo nipo na mahondaw
Thanks love... Love kama zipo za ziada tunatumia tu... Good thing about you ni very understanding.. Huna makuu kwamba lazima upate kitu fulani basi lazima... Mara nyingi ni mimi nakulazimisha uchukue vitu nalipa...Almost two weeks nipo na my one and only
My sweetheart waubani laazizi Smart911 na tangu juzi ijumaa kuu tumesafiri kwenda hukoo kula maisha kubadilisha mazingira tofauti kabisa huku ni full rahaaa bila karahaa tunampango wa kurudi jumatatu Jioni ready for work kila mmoja akiwa furesheeeeeee
Ila Smart911 mtamu jamani acheni tu
Anayajua mapenzi mnoo Smart911
Hapo kwenye pesa sasa lol Mengine
Wacha nifunge domo langu
Wasije wakakuteka buree Smart911 wangu
Thanks love... Love kama zipo za ziada tunatumia tu... Good thing about you ni very understanding.. Huna makuu kwamba lazima upate kitu fulani basi lazima... Mara nyingi ni mimi nakulazimisha uchukue vitu nalipa...
Mpaka nakuambiaga unakataa, unalipa wewe au mimi?? Ndiyo unachukua...
Love you sana... Usimwage sana mchele love....
# Vingine sssshhh kausha #
Teh vingine nafunga domo langu mylove
Ila kusema ukweli Smart911 weeweee jamani dahhhhhhhhhhh mpaka nachanganyikiwa yani nikiwa nawewe nakua kama malaikaaa vile unanitreat . I thank God for this Wonderful lucky man Smart911 to be into Mahondaw's life
Nakupenda sana Smart911 wangu . Kiss kiss kisssssssssssssssssssss
