Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

Kazi yenyewe ni kupost service na bidhaa za office pamoja na kusponsor ads meta
 
Vijana hamna uwaminifu ndo maana mnashindwa kusaidiwa kuna dogo nilimwazima camera akapige picha za graduation kilichofuata ni majuto nikapoteza camera dogo kauza
 
Sawa Pole sana .
 
Back
Top Bottom