Ngoja akutelekeze ama afe ndo utajua umuhimu wa mwenye chetiKama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Ni ujinga na kutojielewa.Nae ana maneno kama mleta mada na yupo radhi watoto wengine wa huyo mwanaume wafe ili wa kwake warithi mali
Wanawake siee baadhi yetu nati flan zimelegea sio siri
OkokTembelea hayo maeneo upate uzoefu
Ndo uende SasaOkok
ilipigwa marufukuWanawake wazuri wazuri wameolewa/
Yamebaki manungayembe yana......./
ivi hiyo nyimbo aliimba nani?
Kwa mfano wewe ukiniteka mm Wala haina shida kabisaMwanaume unatekwaje na kahaba?
Unatelekeza mke na kwenda kujichimbia huko unazaa,unasahau mkeo.
Huna lolote hata mumeo anachepuka tu sema hujuiNatamani Sana ungesoma mkasa wa naipenda jmosi yangu unaoandikwa na Irene mbowe
Kuna maneno Fulani huwa nayapenda Sana anakwambia kahaba ni shimo ndefu
Kwako Dada uliyeandikiwa huu ujumbe naamini upo humu Ila mtafute Sana Mungu ,mbingu zinakujua Kama mke halali hata Kama danga limekupokonya usilie usimrushie vijembe ,lilia magotini omba Sana Kuna majibu ya kila chozi
Kwako mwanaume uliyechepuka na kuacha mke anasutwa huku karma is near
Ujumbe wenu: Mbingu hutaiona otherwise umebadilika na kutubu machozi ya mwanamke mwenzio hayataenda bure miaka itapita lakini lazima Mungu atalipa kwa namna usiyojua
#Huu ugomvi nimetamani uwe wangu Mana ningeupangua spiritual Mimi Ni mwanamke naelewa maumivu ya ndoa
Uswahilini matola bila shaka tehWanawake wazuri wazuri wameolewa/
Yamebaki manungayembe yana......./
ivi hiyo nyimbo aliimba nani?
Duh aiseee team kutegeshea mpo vizuri
Tanzania ya viwanda
Kumbe hupo kwenye hii timu madanga NiniHuna lolote hata mumeo anachepuka tu sema hujui
Wanawake kabla hawajaolewa wanakuwaga wife materialMwanaume unatekwaje na kahaba?
Unatelekeza mke na kwenda kujichimbia huko unazaa,unasahau mkeo.