Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,606
Wanabodi , poleni na majukumu na misoto ya kila namna , kila leo !
Msoto wangu wote na jitihada zangu zote kuanzia January mpaka December 2019 nimefanikiwa yafuatayo :-
1. Kununua shamba la ekari 2 kilomita 15 toka Moshi Mjini kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lenye maji ya kutosha kutoka kwenye chemchem , na nimeanza kulilima vitunguu msimu wa 1
2. Nimejenga banda la kuku 300 kwa matofali na kuezeka kwa bati. Kuku sijaanza kufuga
3. Beers , kitimoto , kusomesha mtoto mmoja pamoja na kulea familia
Sent using Jamii Forums mobile app