UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

Pongezi nyingi zimuendee Rais wetu kipenzi cha wanyonge John pombe magufuli kuhainga usiku na mchana angalau sisi wananchi wake tupate furaha Magufuli ni chaguo la Mungu
Mnapongeza tu hata mkiwa wa mwisho kwa furaha duniani!
 
furaha itatoka wapi wakati.....

1. mhalifu anavamia kituo cha habari klauzi but anayeadhibiwa ni yule anayemdhibiti?

2. polisi wanapiga risasi zinapaa weeee, zinakata kona weeee halafu zinarudi chini tiii na kuua mtu?

3. kijana (Magoti) anayetuhumiwa kwa money laundering ya 17M anasota lupango but mtuhumiwa wa matirioni (Kangi mauno) anadunda mtaani na posho juu?
Kwahyo hao watatu wasiokuwa na furaha ndo wamewakilisha nchi mzima?
 
Af wengne wanakosa furaha kutoka kwa wapenzi wao

Wasisingizie uongozi
Watanzania achen uongo
Na waliotoa izo data waseme hio furaha inakoseshwa na vtu gan
Maana weng wanautupia mzigo uongoz ata pasipo itajika
 
Back
Top Bottom