na hizi siku mbili sijasikia ahadi mpya ya JK au zimeisha? aongezee ahadi ya bajaj na tela zakeTangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?
Aende si itakula kwake unaweza kosa mwana na mbeleko
Tangu JK aingie madarakani hajawahi kukosa mkutano wa UN general assembly hapo New York. Kwa mwaka huu mkutano huo unaanza kesho tarehe 20 September hadi tarehe 22 September 2010, na sijasoma popote kuhusu ujio wa Kikwete ambaye alizoeleka sana jijini NY kwa mahudhurio mzuri ya mkutano huo; kulikoni jamani huko serikalini?
madaktari gani? wakwake au wa wizara au wa sheikh yahya?Madaktari wamemshauri asisafiri safari za muda mrefu....kaogopa
Hivi tunaweza ku-quantify faida za kitaifa zinazopatikana kwa kuhudhuria social gatherings za UN ?