Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
"Ushahidi siwezi kuwa nao wa kimakaratasi wa kushikika ila niliona kwa macho yangu hayo yakifanyika ila mkifanya uchunguzi huru mbona utabaini ni kweli lakini ni lini NEC imewahi kubali madai ya upinzani na kuunda tume ya kuchunguza? Kama hawajawahi kwanini mdai ushahidi kwa sisi tunaolalamika?? Kwenye makinikia tulijua tunaibiwa ila hatukua na ushahidi ndio maana tukaunda tume sasa kipi kigumu kuunda tume kama walivyoshauri wapinzani kwa miaka zaidi ya 20 sasa?? Tuache huu utaratibu wa muibua tuhuma kuleta ushahidi maana Acacia na wenyewe wangesema mlete ushahidi kabla ya tume mngesemaje?? Ingekuwa haki??"
Mkuu mbona kama unachanganganya mada hapo! huna ushahidi sasa unawezaje kupata ujasiri wa kuongea? hivi unajua issue za uchaguzi ni Sheria? na kama huna ushahidi huna haki?
Mkuu mbona kama unachanganganya mada hapo! huna ushahidi sasa unawezaje kupata ujasiri wa kuongea? hivi unajua issue za uchaguzi ni Sheria? na kama huna ushahidi huna haki?