... hivi kuna ugumu gani kuweka hilo dodoso public tukajiandaa na hayo maswali yao?Inasemekana Dodoso (Questionnaire) lina maswali zaidi ya 100 ambayo hatuyajui yatahusu nini. Hivi kweli naweza kubuni vitu zaidi ya 100 watakavyouliza zaidi nikamfahamisha beki 3 na asisahau hata kimoja kweli??
... ha ha ha! Lingine ni kama kwenye kaya kuna mwenye maradhi ya kudumu; nalo umwachie jirani! By the way, huyo karani wa sensa atajua nimemwachia majibu jirani yupi kati ya wengi nilio nao?Moja ya swali ni kipato cha wastani cha kaya. Kwa hiyo umuachie housegirl au jirani hiyo taarifa kwamba bwana wastani wa kipato changu kwa mwezi ni laki 1.
Nilikua nawaza hivi hivi 😂😂😂😂😂Yaani zoezi limefeli kabla hata ya kuanza
Naunga mkono hoja zako. Siku zote za nyuma sensa ilikuwa ikifanyika Jumapili. Sasa wamebadilisha bila kusema kasoro waliyoiona na mtindo huo wa zamani. Siku ya mapumziko, watu wengi zaidi wanakuwepo nyumbani.Ndugu wana jamvi nmeona Serikali imetoa taarifa kuwa Ile siku inayotangazwa Sana ya Sensa kuwa sio siku ya mapumziko. Kiukweli niseme serikali inakosea Sana na haitapata taarifa sahihi kabisa.
Kuna Baadhi ya nyumba hakuna anaebaki Nyumbani hivyo hata wakienda kesho yake hawatakuta mtu maana wote wanaenda kazini.
Pia wanasema ukiondoka uache taarifa zako Kwa anaebaki. Hilo ni ngumu Kwa vile sio Kila niliepanga nae ninamuamini kiasi cha kueza kumuachia taarifa zangu zote binafsi.
Pia Kwa wale walio na wadada wa kazi haiwezekani kuanza kumuambia mdada wa kazi taarifa zangu na familia Kwa ujumla maana ni kama kuwa wazi sasa kitu ambacho sio wote tupo tayari.
Pia hawajasema ni taarifa zipi ambazo zinatakiwa kuachwa ili wakija waweze jibiwa maana tangazo linasema Tu taarifa ziachwe Nyumbani.
Naishauri serikali hiyo siku waifanye iwe ya mapumziko ili kuondoa hizi dosari lasivyo watapata taarifa potofu kuwa tumefika 67m kumbe tupo pungufu
View attachment 2326622
View attachment 2326626
Labda tusimlaumu sana huyo mkuu wa Sensa kwa kuwa kazi yake ni kutekeleza tu hilo zoezi. Mtu wa kuamua lini zoezi lifanyike ni Serikali. Rais ndiye anayetangaza siku ya kufanya sensa kwa mujibu wa sheria inayopitishwa na Bunge. Sana sana mkuu wa Sensa tunaweza kumshutumu kwa kutoielimisha Serikali vilivyo kuhusu kasoro za kufanya zoezi hilo siu ya kazi.Alipoteuliwa tu huyu bibi kuwa Kamishina wa Sensa nikajua tayari sensa imeharibika mapema
Na pia ina maana siku hiyo ya sensa akipita mdau Tu kavaa kikoi cha njano akagonga mlango atafunguliwa. Naona kabisa watu wengi Sana wakiibiwa vitu vyao majumbani Kwa gia ya waandikisha Sensa. Hii serikali ivi ni Nani mshauri wake!!!Naunga mkono hoja zako. Siku zote za nyuma sensa ilikuwa ikifanyika Jumapili. Sasa wamebadilisha bila kusema kasoro waliyoiona na mtindo huo wa zamani. Siku ya mapumziko, watu wengi zaidi wanakuwepo nyumbani.
Mdadisi wa sensa anapata taarifa kutoka kwa mhojiwa ambaye ni mkuu wa kaya na bila shaka mkuu huyo atakuwa kazini siku ya kazi. Habari zingine mdadisi anazipata kwa 'body language' ya mtoa taarifa na kama hakuridhika na jibu lililotolewa atauliza maswali ya nyongeza ili apate ufafanuzi. Aidha, kila mwanamke wa miaka 15 na kuendelea huulizwa maswali yeye mwenyewe kuhusu uzazi. Hajibiwi na mkuu wa kaya kama ilivyo kwa maswali mengine yote.
Itoshe kusema kwamba serikali imepotoka kuitisha sensa siku isiyo ya mapumziko ambapo watu wengi zaidi wangekuwepo majumban kwao. Hivyo taarifa kamilifu zaidi zingepatikana.
Naafiki kabisa maoni haya. Ni bora kukiri kukosea halafu mambo yakarekebishwa kuliko kuwa 'big headed' na kuendelea tu na uamuzi japo umejua kwamba uamuzi huo una kasoro.Muda bado upo kwa serikali kulitafakari hili suala kwani kufeli kujua idadi ya watu kwa usahihi basi ndio mwanzo wa kufeli kwa mipango mengine mingi ya maendeleo.
Ila siyo exactly amount, uzuri ni wastani haina nguvu sana.Moja ya swali ni kipato cha wastani cha kaya. Kwa hiyo umuachie housegirl au jirani hiyo taarifa kwamba bwana wastani wa kipato changu kwa mwezi ni laki 1.
Na swali hilo halipo, nadhani jamaa amebuni tu. Au ndivyo alivyolielewa swali japo halikutaka hayo ayasemayoIla siyo exactly amount, uzuri ni wastani haina nguvu sana.
Huyu kazi yake ni posho tu kila siku 250,000 pamoja na kulipiwa kila kituLabda tusimlaumu sana huyo mkuu wa Sensa kwa kuwa kazi yake ni kutekeleza tu hilo zoezi. Mtu wa kuamua lini zoezi lifanyike ni Serikali. Rais ndiye anayetangaza siku ya kufanya sensa kwa mujibu wa sheria inayopitishwa na Bunge. Sana sana mkuu wa Sensa tunaweza kumshutumu kwa kutoielimisha Serikali vilivyo kuhusu kasoro za kufanya zoezi hilo siu ya kazi.
Lamda uwe umeamua tu kwa dhati hutaki kuwezesha zoezi la sensa kwenda salama. Lakini kama unania sensa iende salama hakuna kikwazo chochote unavyowazia wewe. Kuna baadhi ya details ni za muhimu kuacha kama vile 1. Kitambulisho cha NIDA au namba 2. Tar ya kuzaliwa ili kupata umri. 3. Shughuli za kiuchumi nk nk. Lakini inakubidi utambue kuwa kama kuna baadhi ya Mambo yatashindwa kujibiwa na muwakilishi wa kaya na ikabidi mkuu wa kaya awepo, karani itabidi aulizie muda ambao mkuu wa kaya atarudi nyumbani hata kama ni usiku na kurudi kuendelea na dodoso.Hivi unadhani swali la uchumi wenu unategemea kitu gani bila kuambiwa umuachie beki tatu majibu utajuaje hivi unafahamu kuwa kuna maswali kama 100 hivi kwenye Dodoso dogo
Jf inatisha ! Ushauri wako umechukuliwa wote bila kubakisha chochoteNdugu wana jamvi nmeona Serikali imetoa taarifa kuwa Ile siku inayotangazwa Sana ya Sensa kuwa sio siku ya mapumziko. Kiukweli niseme serikali inakosea Sana na haitapata taarifa sahihi kabisa.
Kuna Baadhi ya nyumba hakuna anaebaki Nyumbani hivyo hata wakienda kesho yake hawatakuta mtu maana wote wanaenda kazini.
Pia wanasema ukiondoka uache taarifa zako Kwa anaebaki. Hilo ni ngumu Kwa vile sio Kila niliepanga nae ninamuamini kiasi cha kueza kumuachia taarifa zangu zote binafsi.
Pia Kwa wale walio na wadada wa kazi haiwezekani kuanza kumuambia mdada wa kazi taarifa zangu na familia Kwa ujumla maana ni kama kuwa wazi sasa kitu ambacho sio wote tupo tayari.
Pia hawajasema ni taarifa zipi ambazo zinatakiwa kuachwa ili wakija waweze jibiwa maana tangazo linasema Tu taarifa ziachwe Nyumbani.
Naishauri serikali hiyo siku waifanye iwe ya mapumziko ili kuondoa hizi dosari lasivyo watapata taarifa potofu kuwa tumefika 67m kumbe tupo pungufu
View attachment 2326622
View attachment 2326626
tayariNaunga mkono hoja. Nina uhakika serikali itaufanyia kazi ushauri huu
Wewe serikali yako imeona ni sawa ,acha taifa likawajibike maana ukipiga hesabu siku ya sensa ni kuanzia tarehe 23 August mpaka 31 August sasa siku zote hizo watu wapumzike na taifa litajengwa na wakina naniNdugu wana jamvi nmeona Serikali imetoa taarifa kuwa Ile siku inayotangazwa Sana ya Sensa kuwa sio siku ya mapumziko. Kiukweli niseme serikali inakosea Sana na haitapata taarifa sahihi kabisa.