Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,092
- 13,013
cc Samia Suluhu Hassan.Ndugu wana jamvi nmeona Serikali imetoa taarifa kuwa Ile siku inayotangazwa Sana ya Sensa kuwa sio siku ya mapumziko. Kiukweli niseme serikali inakosea Sana na haitapata taarifa sahihi kabisa.
Kuna Baadhi ya nyumba hakuna anaebaki Nyumbani hivyo hata wakienda kesho yake hawatakuta mtu maana wote wanaenda kazini.
Pia wanasema ukiondoka uache taarifa zako Kwa anaebaki. Hilo ni ngumu Kwa vile sio Kila niliepanga nae ninamuamini kiasi cha kueza kumuachia taarifa zangu zote binafsi.
Pia Kwa wale walio na wadada wa kazi haiwezekani kuanza kumuambia mdada wa kazi taarifa zangu na familia Kwa ujumla maana ni kama kuwa wazi sasa kitu ambacho sio wote tupo tayari.
Pia hawajasema ni taarifa zipi ambazo zinatakiwa kuachwa ili wakija waweze jibiwa maana tangazo linasema Tu taarifa ziachwe Nyumbani.
Naishauri serikali hiyo siku waifanye iwe ya mapumziko ili kuondoa hizi dosari lasivyo watapata taarifa potofu kuwa tumefika 67m kumbe tupo pungufu
View attachment 2326622
Inasemekana Dodoso (Questionnaire) lina maswali zaidi ya 100 ambayo hatuyajui yatahusu nini. Hivi kweli naweza kubuni vitu zaidi ya 100 watakavyouliza zaidi nikamfahamisha beki 3 na asisahau hata kimoja kweli??Sensa haileti chakula kwa meza acha watu wachape kazi kujiletea maendeleo
Beki 3 wangu akisahau nilichomueleza kuhusu mimi ili asiharibu zoezi atabuni tu chochote mradi zoezi liende.Naunga mkono hoja. Nina uhakika serikali itaufanyia kazi ushauri huu
Wanaongea upuuzi,tuwe tumeacha taarifa zetu kwani tunajua watauliza maswali Gani?Ndugu wana jamvi nmeona Serikali imetoa taarifa kuwa Ile siku inayotangazwa Sana ya Sensa kuwa sio siku ya mapumziko. Kiukweli niseme serikali inakosea Sana na haitapata taarifa sahihi kabisa.
Kuna Baadhi ya nyumba hakuna anaebaki Nyumbani hivyo hata wakienda kesho yake hawatakuta mtu maana wote wanaenda kazini.
Pia wanasema ukiondoka uache taarifa zako Kwa anaebaki. Hilo ni ngumu Kwa vile sio Kila niliepanga nae ninamuamini kiasi cha kueza kumuachia taarifa zangu zote binafsi.
Pia Kwa wale walio na wadada wa kazi haiwezekani kuanza kumuambia mdada wa kazi taarifa zangu na familia Kwa ujumla maana ni kama kuwa wazi sasa kitu ambacho sio wote tupo tayari.
Pia hawajasema ni taarifa zipi ambazo zinatakiwa kuachwa ili wakija waweze jibiwa maana tangazo linasema Tu taarifa ziachwe Nyumbani.
Naishauri serikali hiyo siku waifanye iwe ya mapumziko ili kuondoa hizi dosari lasivyo watapata taarifa potofu kuwa tumefika 67m kumbe tupo pungufu
View attachment 2326622View attachment 2326626
Naiona kabisa hela ya mlipa Kodi ikipotea bure yaaan. Labda kama Wana idadi wanataka kuipika yaaan. Hajasema taarifa zinazohitajika wanataka niote Tu kumuachia jiran yangu auWanaongea upuuzi,tuwe tumeacha taarifa zetu kwani tunajua watauliza maswali Gani?
Huku ni kutojielewa, yaani siku ya usafi ya Magufuli day watu hawafungui biashara kwa ajili ya usafi Kwa masaa 5 harafu zoezi muhimu la sensa linachukuliwa poa?
Ngoja watapata wanachokitafuta ,may be Wana uzoefu wa sensa za awali.
Hivi unadhani swali la uchumi wenu unategemea kitu gani bila kuambiwa umuachie beki tatu majibu utajuaje hivi unafahamu kuwa kuna maswali kama 100 hivi kwenye Dodoso dogoSioni logic, why upumzike siku moja wakati zoezi ni la siku saba, bora ungesema upumzike siku 7.
Imagine mkoa kama Dar es salaam, EA moja tu wanaweza wasimalize plus hata huko vijijini (mf longido kwa wafugaji) maeneo yako very scattered na namna akifikika.
Kuhusu questionnaires sidhani kama ni very secret kiasi hicho kwamba hata dada wa nyumbani asipewe kuepuka UHAINI ndani ya familia [emoji28]
Maswali kama mna choo na mnakitumia, mmeala wangapi usiku wa 23 agost, uchumi wenu unategemea nini, mkuu wa kaya ni jinsia gani nk nk.
Hakuna maajabu sana kwamba questions ni classified kiasi hicho
Inasemekana Dodoso (Questionnaire) lina maswali zaidi ya 100 ambayo hatuyajui yatahusu nini. Hivi kweli naweza kubuni vitu zaidi ya 100 watakavyouliza zaidi nikamfahamisha beki 3 na asisahau hata kimoja kweli??