Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umuhimu wa kuweka fedha benki

Discussion in 'Jamii Photos' started by MHASIBU HALISI, Apr 1, 2012.

 1. MHASIBU HALISI

  MHASIBU HALISI Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  PESA.jpg
  Ni hatari sana kukaa na fedha nyingi namna hii Nyumbani !
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hizo ni dirty money ndio maana haziendi bank!
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 9,845
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Akipeleka tu anajipa misukosuko,maana ni chafu.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,744
  Likes Received: 3,094
  Trophy Points: 280
  Hizi ni Fedha? au Makaratasi ya Zimbabwe? Ikiwa hizo ni Fedha na Dollar ya kimarekani itakuwa ni nini?
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,783
  Likes Received: 1,980
  Trophy Points: 280
  Hivi benki unapata msukosuko kwa kiwango cha fedha kinachoanzia shilingi ngapi?
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 6,992
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  zipeleke kwa mitume na manabii, vingine ni vituo tu vya kusafisha pesa kama hizi by the name of mafungu ya kumi....sad fact!!
   
Loading...