Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

Ni kweli ukila kwa kiasi linasaidia mno meno kuwa imara na kupunguza mafuta mwilini athari zake kama una shida ya kula waweza pata ulcers
 
Mimi niliskia juu juu tu kuwa limao linaua sumu flani ndani ya mwili wa binadamu! Sasa kwa wale walao limao kama wanavyokula chungwa sijui ndio wanakata mafuta au vipi!
Ngoja wataalamu waje!
 
Wadau ukipata muda cheki hii post



1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C

2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara

3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo

4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana

5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa

6. Husaidia mmeng’enyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umeng’enyaji wa chakula.

7. Himarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.

8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.

9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.

10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.
 
Mimi namazoea ya kunywa maji asubuhi lakini maji yenyewe nakunywa ya baridi,chai hua sipendelei,je maji barid kwa asubuhi ni vibaya?

cyo vibaya lkn unapaswa kunywa ya uvuguvugu ndo ili uweze kunywa mengi kwa muda mfupi na usaidia kuchoma mafuta yalio ganda njia ya chakula,
 
Am among pipo ambao wakijiachia kidogo tu kwa kula hovyo kitumbo kinakuwa kikubwa kama 2wiks ago i tried kunywa maji ya kawaida na ndimu kila napoamka natumia glass moja ya maji yenye ndimu yaani kitumbo chote kikakata...!!!!
 

-----------------------

6 REASONS TO DRINK LEMON WATER IN THE MORNING









_______________________



​
Number 1
It balances pH--Lemon is an acidic food, but once metabolized, it becomes alkaline. I work very hard at keeping my body alkaline. Why?

​
To put it most simply, alkalies help keep the oxygen in our blood at a safe pH level, and this helps our body heal itself, assimilate nutrients and fight off unwanted sickness.
-Nicole Bennet
​

I have read of many people who have fought their cancer nutritionally by focusing on the body's pH levels. Kris Carr, of Crazy Sexy Cancer has halted tumors growing in her liver for over 7 years by focusing on nutrition, including alkalizing foods. I think that is crazy cool. Even a little crazy sexy cool!!

​

​


I regularly check the pH of my body using these little pH strips. I now know what foods --GREENS!--will keep my levels where they need to be. I also believe lemon water helps this process.


Number 2
It keeps skin clear and glowing! I have noticed this. Hydration from drinking lemon water is great for moisturizing our skin from the inside out. Lemon also contains lots of Vitamin C, which helps with wrinkles and blemishes.


Number 3
It kick starts the digestive system--a big glass of lemon water is a great way to start the day. It encourages the liver to produce bile which in turn aids in digestion. It increases urination which helps purify it. It also helps with heartburn and constipation.


Number 4
It helps with weight loss--I have read that keeping the body in an alkaline state helps people lose weight faster. Lemons are high in fiber pectin, which helps keep one full, longer. They also have a diuretic effect, which helps with water weight gain.


Number 5
It helps control the coffee habit--I will drink coffee sometimes, but only if I have had my entire glass of lemon water. Many days I feel like the lemon water wakes me up more than coffee does...


...which brings me to bonus Number 6:

It helps kick the pop habit--I have found that adding lemon to sparkling water and adding a whole lot of ice satisfies any soda craving I might have. I gave up soda pop the minute I was diagnosed a year ago, and I really don't miss it. I don't think I could stand the sweetness of it now, but I DO miss the fizz, so my "Lemon Spritzer"--lemon +sparkling water+ice--is the perfect solution!
​

​

Kwenye kinywa naomba niongeze neno huimarisha meno na kuyakings na mashambulizi ya magonjwa ya meno
 
Mimi namazoea ya kunywa maji asubuhi lakini maji yenyewe nakunywa ya baridi,chai hua sipendelei,je maji barid kwa asubuhi ni vibaya?

Maji baridi kwa asubuhisi mazur,kunywa maji ya moto/vuguvugubefore hujaswaki..🙂 mwanzo ilinipa shida but ow nimezoea.
 

-----------------------

6 REASONS TO DRINK LEMON WATER IN THE MORNING









_______________________



​
Number 1
It balances pH--Lemon is an acidic food, but once metabolized, it becomes alkaline. I work very hard at keeping my body alkaline. Why?

​
To put it most simply, alkalies help keep the oxygen in our blood at a safe pH level, and this helps our body heal itself, assimilate nutrients and fight off unwanted sickness.
-Nicole Bennet
​

I have read of many people who have fought their cancer nutritionally by focusing on the body's pH levels. Kris Carr, of Crazy Sexy Cancer has halted tumors growing in her liver for over 7 years by focusing on nutrition, including alkalizing foods. I think that is crazy cool. Even a little crazy sexy cool!!

​

​


I regularly check the pH of my body using these little pH strips. I now know what foods --GREENS!--will keep my levels where they need to be. I also believe lemon water helps this process.


Number 2
It keeps skin clear and glowing! I have noticed this. Hydration from drinking lemon water is great for moisturizing our skin from the inside out. Lemon also contains lots of Vitamin C, which helps with wrinkles and blemishes.


Number 3
It kick starts the digestive system--a big glass of lemon water is a great way to start the day. It encourages the liver to produce bile which in turn aids in digestion. It increases urination which helps purify it. It also helps with heartburn and constipation.


Number 4
It helps with weight loss--I have read that keeping the body in an alkaline state helps people lose weight faster. Lemons are high in fiber pectin, which helps keep one full, longer. They also have a diuretic effect, which helps with water weight gain.


Number 5
It helps control the coffee habit--I will drink coffee sometimes, but only if I have had my entire glass of lemon water. Many days I feel like the lemon water wakes me up more than coffee does...


...which brings me to bonus Number 6:

It helps kick the pop habit--I have found that adding lemon to sparkling water and adding a whole lot of ice satisfies any soda craving I might have. I gave up soda pop the minute I was diagnosed a year ago, and I really don't miss it. I don't think I could stand the sweetness of it now, but I DO miss the fizz, so my "Lemon Spritzer"--lemon +sparkling water+ice--is the perfect solution!
​

​
MAJI NA JUISI YA LIMAU ASUBUHI KINGA KUBWA MWILINI.

TUMEZOEA kuanza siku kwa kunywa vinywaji moto kama vile kahawa au chai na hii imekuwa ndiyo desturi ya maisha ya watu wengi duniani. Lakini


siyo lazima kuanza siku yako kwa kunywa vinywaji hivyo, ambavyo tafiti nyingi zimeonesha chai na kahawa vikitumiwa kupita kiasi vinaweza kuwa na athari kwa mtumiaji. Katika kuangalia njia

mbadala na bora ya kufungua kinywa na kuanza siku vizuri, imebainika kuwa glasi moja ya maji

ya uvuguvugu yaliyochanganywa na juisi ya limau kipande kimoja, yana faida kubwa mwilini na yanafaa kutumiwa kama kifungua kinywa asubuhi.

Zifuatazo ni baadhi ya faida kubwa za kunywa maji kwa kuchanganya na juisi ya limau asilia kama zilivyoanishwa na kuthibitishwa na tafiti mbalimbali za kisayansi:


HUSAIDIA USAGAJI CHAKULA: Maji ya uvuguvugu husaidia kuuamsha na kuuchangamsha utumbo na maji ya limau hulainisha na kuondoa sumu yoyote inayoweza kuwa imeganda kwenye utumbo na kuipeleka kweye njia ya haja kubwa ili kutolewa kama uchafu.

HUONDOA SUMU KWENYE NGOZI NA MWILINI: Unywaji wa maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na juisi ya limau husaidia sana kuondoa sumu na uchafu kwenye ngozi kwa njia ya mkojo. Aidha, kiwango kingi cha Vitamin C kilichomo kwenye juisi ya limau huondoa takataka zote za kwenye mwili na damu, hivyo kuiacha ngozi yako safi, laini na nyororo.

HUIMARISHA KINGA YA MWILI: Kama tulivyoona hapo juu, limau lina kiwango kingi cha Vitamin C ambayo ni muhimu katika kujenga kinga ya mwili na huzuia magonjwa ya mafua na kikohozi. Halikadhalika limau lina kiwango kingi cha ‘potasiamu' ambayo huamsha ubongo na kudhibiti shinikizo la damu.

HUONDOA ULEVI WA KAHAWA: Kuna watu wameshazoea kunywa kahawa kila siku na kuwa kama ulevi, kwani wanapokosa kunywa huwa kama wagonjwa, lakini kwa kunywa maji na limau hali hiyo ya ‘uteja' huondoka na kujisikia huru na mchangamfu.

HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO: Limau pia lina kiwango kingi cha kirutubisho aina ya kamba lishe (pectin fiber) ambacho ukikila kinakufanya ujisikie kushiba. Hivyo maji haya ni mazuri sana kwa watu wenye kuhitaji kupunguza uzito au kuimarisha uzito walionao.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA

Hakikisha kiwango cha joto cha maji utakayotumia kiwe cha kati, si ya moto wala baridi. Maji moto sana siyo mazuri kwasababu yataua virutubisho vilivyomo kwenye limau na ya baridi sana yanaweza kusumbua tumboni. Pia yawe maji safi na salama.


Ili kuyalinda meno yako dhidi ya uchachu wa limau, pendelea kutumia mrija kunyonyea maji hayo. Hakikisha unakamua juisi yako kutoka kipande cha limau halisi na siyo juisi ya limau iliyosindikwa kwenye chupa.


Ukiwa na mazoea ya kuanza siku yako kwa kunywa mchanganyiko huu wa maji na juisi ya limau, afya yako itaimarika, hutapatwa na magonjwa kirahisi na ngozi yako itakuwa laini na nyororo.
 
Wadau ukipata muda cheki hii post



1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C

2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara

3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo

4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana

5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa

6. Husaidia mmengenyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umengenyaji wa chakula.

7. Himarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.

8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.

9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.

10. Huondoa hali ya k uhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.

Asante kwa hili ubarikiwe kwakweli maana vitambi sikuhizi wanawake kwa wanaume tunashindana acha tujaribu hii zoezi....Mungu akubariki mtoa post
 
Ndimu na Limao vipo sawa ? maana kuna mtu ananiambia kuna utofauti msaada tafadhari!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom