Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

Umuhimu wa kunywa maji ya Limao asubuhi

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,940
1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C

2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara

3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo

4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana

5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa

6. Husaidia mmeng'enyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umeng'enyaji wa chakula.

7. Himarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.

8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.

9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.

10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.[/QUOTE]


=====
Wahenga wanasema nyota njema hung’ara asubuhi – mie kila asubuhi huwa ni muda muafaka wa kuanza siku yangu kwa kuzingatia afya. Kwa kawaida huwa napenda kuanza siku na chai au maji yaliyochanganywa na limao. Limao ni kitu kidogo sana lakini faida zake huwezi kuamini kama hujawahi kutumia. Leo hii naomba nikudokeze kidogo ili nawe upate kujua.

Kuna faida nyingi sana za kutumia limao, hasa wakati wa asubuhi wakati mwili umekaa bila kula usiku kucha. Kati ya nyingi, hizi hapa chache za kukufanya kufikiria kuanza kutumia limao kama utapenda.

Kusafisha mwili
Limao husaidia kusafisha uchafu usiohitajika mwilini kwa kusaidia mmeng’enyo wa chakula na kulifanya ini kufanya kazi vizuri.

Kuweka harufu nzuri kinywani
Asidi iliyopo kwenye maji ya limao huua bakteria walioko mdomoni wanaosababisha harufu mbaya ya kinywa. Ni vizuri kama ukinywa limao baada ya kupiga mswaki ili kupata matokeo mazuri zaidi.

Kuleta nguvu mwilini
Limao baada ya kuingia kwenye mfumo wa chakula, huupa mwili nguvu. Hii husaidia kuondoa uchovu na msongo wa mawazo, sonono (depression), na wasiwasi.

Kupunguza uzito
Nyuzinyuzi za pectin (Pectin fiber) zilizomo kwenye limao husaidia kuzuia njaa na hivyo kutopata hamu ya kula mara kwa mara.

Kuongeza kinga ya mwili
Malimao yana acid, ni chanzo kizuri cha vitamin C, ambayo ni nzuri kuzuia baridi na homa. Malimao pia husaidia kuimarisha ubongo na mishipa ya fahamu kutokana na kuwa na madini ya Potassium. Vilevile Potassium husaidia kuzuia shinikizo la damu.

Kuzuia uvimbe
Cha kushangaza kabisa, ukiwa unakunywa maji ya limao mara kwa mara, unapunguza kiwango cha acid mwilini mwako. Hii ni kutokana na ukweli kuwa limao haitengenezi acid mwilini baada ya kumeng’enywa. Kutokana na hii, husaidia sana kupunguza asidi ya uric ambayo ni chanzo kikuu cha uvimbe mwilini.

Kuondoa mikunjo na makovu mwilini
Maji ya limao huweza kuondoka makovu na mikunjo kwenye ngozi. Huweza vilevile kupunguza makovu makubwa kama ukinyunyizia kila mara. Kutokana na uwezo wake wa kusafisha damu, maji ya limao huacha ngozi ikiwa inang’aa na yenye afya.

Husaidia kukufanya uache kunywa kahawa
Je wewe ni mlevi wa kahawa na unataka njia ya kuacha ? Basi kunywa kikombe cha maji ya moto chenye mchanganyiko wa limao. Hii ni dawa tosha. Huwezi kuamini hadi ujaribu, na ukishajaribu hutoweza kurudi tena kwenye kahawa.

Je unatakiwa kutumia limao kwa kiwango gani?
Kama una uzito mdogo, chini ya kilo 70, unaweza kula nusu limao, kama umezidi kilo 70 unatakiwa kula limao zima kwa siku. Ukifanya hivi kila siku utaanza kuona mabadiliko muda si mrefu.

Karibu kwenye ulimwengu wa afya. Jaribu kutumia limao na uone uzuri na faida zake kwenye mwili wako. Jua kuwa vitu vizuri mara zote huwa havina gharama, ni vilevile tunavyoviona kila siku, cha msingi ni jinsi ya kuvitumia. Ukifanya matumizi sahihi ya vitu, hakika utaona maisha yanavyokuwa mazuri.

Asante kwa kuwashirikisha wale uwapendao ili wafahamu umuhimu wa limao.

Siku njema.

=====

6 REASONS TO DRINK LEMON WATER IN THE MORNING








_______________________





Number 1

It balances pH
--Lemon is an acidic food, but once metabolized, it becomes alkaline. I work very hard at keeping my body alkaline. Why?



To put it most simply, alkalies help keep the oxygen in our blood at a safe pH level, and this helps our body heal itself, assimilate nutrients and fight off unwanted sickness.

-Nicole Bennet





I have read of many people who have fought their cancer nutritionally by focusing on the body's pH levels. Kris Carr, of Crazy Sexy Cancer has halted tumors growing in her liver for over 7 years by focusing on nutrition, including alkalizing foods. I think that is crazy cool. Even a little crazy sexy cool!!

I regularly check the pH of my body using these little pH strips. I now know what foods --GREENS!--will keep my levels where they need to be. I also believe lemon water helps this process.

Number 2
It keeps skin clear and glowing!
I have noticed this. Hydration from drinking lemon water is great for moisturizing our skin from the inside out. Lemon also contains lots of Vitamin C, which helps with wrinkles and blemishes.

Number 3
It kick starts the digestive system
--a big glass of lemon water is a great way to start the day. It encourages the liver to produce bile which in turn aids in digestion. It increases urination which helps purify it. It also helps with heartburn and constipation.

Number 4
It helps with weight loss
--I have read that keeping the body in an alkaline state helps people lose weight faster. Lemons are high in fiber pectin, which helps keep one full, longer. They also have a diuretic effect, which helps with water weight gain.

Number 5
It helps control the coffee habit
--I will drink coffee sometimes, but only if I have had my entire glass of lemon water. Many days I feel like the lemon water wakes me up more than coffee does...

...which brings me to bonus Number 6:

It helps kick the pop habit-
-I have found that adding lemon to sparkling water and adding a whole lot of ice satisfies any soda craving I might have. I gave up soda pop the minute I was diagnosed a year ago, and I really don't miss it. I don't think I could stand the sweetness of it now, but I DO miss the fizz, so my "Lemon Spritzer"--lemon +sparkling water+ice--is the perfect solution!

MICHANGO YA WADAU:
Wadau ukipata muda cheki hii post

1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C

2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo kujaa gesi mara kwa mara

3. Huleta hewa safi kinywani. Ni Muhimu sana kwa watu wanaonuka midomo

4. Hukuongezea uchangamfu na kufanya siku yako ianze vizuri sana

5. Husaidia majeraha kupona kwa haraka kutokana na kuwa na ascorbic acid ya kutosha. Pia huimarisha mifupa

6. Husaidia mmengenyo wa chakula utakachokula asubuhi au mchana kwa kuondoa vikwazo vyote vinavyoweza kuzuia umengenyaji wa chakula.

7. Himarisha Ngozi yako, kuondoa makunyanzi na kukupa muonekano mzuri.

8. Husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uzito kwani maji moto ya limao huyeyusha mafuta ya kutosha.

9. Huyapa macho yako afya nzuri na kuimarisha kuona.

10. Huondoa hali ya kuhitaji kahawa kila asubuhi ambayo si nzuri kiafya.
========
MAJI NA JUISI YA LIMAU ASUBUHI KINGA KUBWA MWILINI.

TUMEZOEA kuanza siku kwa kunywa vinywaji moto kama vile kahawa au chai na hii imekuwa ndiyo desturi ya maisha ya watu wengi duniani. Lakini

siyo lazima kuanza siku yako kwa kunywa vinywaji hivyo, ambavyo tafiti nyingi zimeonesha chai na kahawa vikitumiwa kupita kiasi vinaweza kuwa na athari kwa mtumiaji. Katika kuangalia njia

mbadala na bora ya kufungua kinywa na kuanza siku vizuri, imebainika kuwa glasi moja ya maji
ya uvuguvugu yaliyochanganywa na juisi ya limau kipande kimoja, yana faida kubwa mwilini na yanafaa kutumiwa kama kifungua kinywa asubuhi.

Zifuatazo ni baadhi ya faida kubwa za kunywa maji kwa kuchanganya na juisi ya limau asilia kama zilivyoanishwa na kuthibitishwa na tafiti mbalimbali za kisayansi:

HUSAIDIA USAGAJI CHAKULA: Maji ya uvuguvugu husaidia kuuamsha na kuuchangamsha utumbo na maji ya limau hulainisha na kuondoa sumu yoyote inayoweza kuwa imeganda kwenye utumbo na kuipeleka kweye njia ya haja kubwa ili kutolewa kama uchafu.

HUONDOA SUMU KWENYE NGOZI NA MWILINI: Unywaji wa maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na juisi ya limau husaidia sana kuondoa sumu na uchafu kwenye ngozi kwa njia ya mkojo. Aidha, kiwango kingi cha Vitamin C kilichomo kwenye juisi ya limau huondoa takataka zote za kwenye mwili na damu, hivyo kuiacha ngozi yako safi, laini na nyororo.

HUIMARISHA KINGA YA MWILI: Kama tulivyoona hapo juu, limau lina kiwango kingi cha Vitamin C ambayo ni muhimu katika kujenga kinga ya mwili na huzuia magonjwa ya mafua na kikohozi. Halikadhalika limau lina kiwango kingi cha ‘potasiamu' ambayo huamsha ubongo na kudhibiti shinikizo la damu.

HUONDOA ULEVI WA KAHAWA: Kuna watu wameshazoea kunywa kahawa kila siku na kuwa kama ulevi, kwani wanapokosa kunywa huwa kama wagonjwa, lakini kwa kunywa maji na limau hali hiyo ya ‘uteja' huondoka na kujisikia huru na mchangamfu.

HUSAIDIA KUPUNGUZA UZITO: Limau pia lina kiwango kingi cha kirutubisho aina ya kamba lishe (pectin fiber) ambacho ukikila kinakufanya ujisikie kushiba. Hivyo maji haya ni mazuri sana kwa watu wenye kuhitaji kupunguza uzito au kuimarisha uzito walionao.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA

Hakikisha kiwango cha joto cha maji utakayotumia kiwe cha kati, si ya moto wala baridi. Maji moto sana siyo mazuri kwasababu yataua virutubisho vilivyomo kwenye limau na ya baridi sana yanaweza kusumbua tumboni. Pia yawe maji safi na salama.

Ili kuyalinda meno yako dhidi ya uchachu wa limau, pendelea kutumia mrija kunyonyea maji hayo. Hakikisha unakamua juisi yako kutoka kipande cha limau halisi na siyo juisi ya limau iliyosindikwa kwenye chupa.

Ukiwa na mazoea ya kuanza siku yako kwa kunywa mchanganyiko huu wa maji na juisi ya limau, afya yako itaimarika, hutapatwa na magonjwa kirahisi na ngozi yako itakuwa laini na nyororo.
 
Mimi nimezoea ya kunywa maji asubuhi lakini maji yenyewe nakunywa ya baridi, chai hua sipendelei, je maji baridi kwa asubuhi ni vibaya?
 
Outside this topic MziziMkavu, is there an benefit of eating sugar canes before anything in the morning?
 
Last edited by a moderator:
Outside this topic MziziMkavu, is there an benefit of eating sugar canes before anything in the morning?
Mkuu Ndahani Kwanza kabisa kunywa maji ya uvuguvugu uchanganye na kipande cha limau na kijiko kimoja cha asali kuna faidanyingi sana humu ukinywa vitu hivyo kwa ajili ya Afya yako kisha ndio waweza kunywa hiyo Juisi ya Miwa baadae kidogo. Huo ndio Ushauri wangu mkuu. [h=1]Benefits Of Sugarcane[/h]Sugarcane is a form of grass that belongs to Poaceae family. It is native to the regions of the Old World, ranging from warm temperate ones to tropical ones. Sugarcanes have a stout, jointed and fibrous stalk, which can measure 2 to 6 meters in height. They are rich in sugar and today, are being grown in over 200 countries of the world. In 2005, Brazil was the largest producer of sugarcane in the world, followed by India. Apart from being the source of sugar, sugarcanes are also consumed in the raw form, especially in India. The juice from sugarcane is also very healthy and is loaded with a range of essential nutrients. Cane juice is a natural high-energy drink, which makes it a healthy alternative to refined sugar added drinks. The health and nutrition benefits that result from consuming sugarcane, in the raw form as well as in the form of juice, have been listed below.

Health & Nutrition Benefits of Eating Sugarcanes

  • Sugarcane, being low on glycemic index, helps keep the body fit and healthy.
  • Sugarcane juice has been found to be very beneficial for preventing as well as treating sore throat, cold and flu.
  • Since sugarcane has no simple sugar, it can be enjoyed by diabetics without any fear. However, they intake should still be limited for people suffering from type-2 diabetes.
  • Being alkaline in nature, sugarcane juice helps the body in fighting against cancer, especially prostate and breast cancer.
  • Sugarcane provides glucose to the body, which is stored as glycogen and burned by the muscles, whenever they require energy. Therefore, it is considered to be one of the best sources of energy.
  • If you have been exposed to heat and physical activity for too long, drink sugarcane juice. It will help hydrate the body quickly.
  • Sugarcane is believed to strengthen stomach, kidneys, heart, eyes, brain, and sex organs.
  • Sugarcane juice is an excellent substitute for aerated drinks and cola.
  • Sugarcane clears the urinary flow and also helps the kidney to perform its functions smoothly.
  • Sugarcane juice has been found to be good for those who are suffering from febrile disorders. Febrile disorders are responsible for causing fevers, which can result in a great amount of protein loss from the body. Liberal consumption of sugar cane juice provides the necessary protein and other food elements to the body.
  • Sugarcane is beneficial for micturation, caused due to high acidity, along with genorrhoea, enlarged prostate, cyctitis and nepthritis. Mixing sugarcane juice with lime juice, ginger juice and coconut water will give better results.
  • Sugarcane juice is said to speed up the recovery process after jaundice.
  • As sugarcane consists of carbohydrates, in good quantities, it serves to refresh and energize the body. It supplies instant energy to working muscles and for this reason, it is also known to maximize performance in sports and endurance.
  • Sugarcane is also good for digestion, as it can effectively work as a mild laxative because of its high potassium content.
  • Source: Health Benefits of Sugarcane - Nutrition Benefits of Eating Sugarcanes

[h=1]
681x454.jpg
[/h]Juisi ya miwa ina faida nyingi ya kukutibu na kukinga na maradhi mengi tu.
 
Last edited by a moderator:
wanajamvi habari,

Nimesoma makala moja ikielezea umuhimu wa kunywa maji yaliochanganywa na limao asubuhi hasa mda wa kuamka kwamba ni kirutubisho muhimu na husaidia kwa kiasi kikubwa kutoa sumu mwilini (detox) kwani limao lina kiwango kizuri cha Alkaline ambayo hupambana na sumu mbalimbali kwenye mwili hasa maeneo ya kwenye maini,figo,kibofu cha mkojo na mfumo wa damu na hata kuzuia kansa.

sasa jambo ambalo ni muhimu kufahamu ni kuwa huruhusiwi kuweka sukari katika kinyaji chako kwani sukari ina trigger acidicity na hivokuwa kazi bure.

swali hasa kwa madokta waliobobea katika alternative medicine kama mzizi mkavu je? ni busara kuchanganya juice hii ya limao na asali au ndo yatakua yale yale kama ya sukari? msaada wadau mana wengi tunakula vyakula vyenye masumu kibao.
Nawasilisha wanajamvi.
 
Ukiweza tumia asali usipoweza tumia sukari. Miaka ya karibuni sukari imesemwa vibaya lakini bila kuangalia ukweli upo wapi.
 
princebujonde, Ni kweli Juisi ya limau yaani Limau na asali na maji ya uvuguvugu inasaidia sana kupunguza unene kilo mwilini ikiwa wewe mnywaji wa kila siku. Lakini watu hawapendi kutumia dawa zetu za kienyeji wanapenda kutumia dawa za kizungu zenye kutibu na kuingiza Sumu mwilini Side effect. Ushauri mzuri uliotowa mkuu.
 
Je, ni kweli kwamba ulaji wa limao ukausha damu mwilini.Ni zipi faida au hasara zake mwilini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom