Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.Ila ukitaka kuenjoi inabidi kuhonga vyote vyote.
Kahela kidogo, na ka asset kidogo, hapo mtoto mzuri hachomoki.
Itabidi kua na maamuI magumu katika hilomwanamke anakuwa na wakati mgumu inapotokea anapata bwana anayemkuna kisawasawa lakini hana mavumba.
mie pesa tu ndio zinanifikisha kileleni.Na anayekufikisha kileleni je..??
una mpango wa kuwa masikini hadi lini kwanza?Naomba mshtue Heaven Sent mwambie naomba anionee kahuruma dear, ila mwambie kuwa mimi ni masikini sana!
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Hawa dada zetu siyo kabisa, kama mtu ni masikini hupati penzi! Najua am lonely kwa sababu sihongi but i thank God within my loneliness i find happiness na siku zinasonga!.....
Nipo dear, mambo tu ya hapa na pale.aisee upo mamii!! miss you.
MhhhhhhhhAsante kwa huu uzi, mwenzenu nina maradhi ya kuhonga (hongariasis), yaani nahonga karibia kila siku, wengine siwajui nahonga tu. Kumebarikiwa kuhonga.
Unaachaje kumheshimu kwa mfano?yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.
Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.
[emoji3][emoji135][emoji135]Only real men will understand this.....
Na asipotupia ajue kuna mwenzake anatupia.vitu vingine ni natural jaman msiache kabisa kutupia kidogo vina raha yake!
Na asipotupia ajue kuna mwenzake anatupia.
Period
Majukumu yapi zaidi ya kupanga matumizi na kutumia kilichotolewa na Baba kama hali ukiruhusu Mama anachangia lakini sio lazima na sio wajibu wake maana siku Baba anamwoa alijiona yuko tayari kutunza familia.jaman ni kama majukumu ya mama kwenye familia ni natural baba anasaidia etiii! akitupia ha vocha ya 5000/ kuna kaladha flan.
Yani unauliza na kujipa majibu hapohapo!Majukumu yapi zaidi ya kupanga matumizi na kutumia kilichotolewa na Baba kama hali ukiruhusu Mama anachangia lakini sio lazima na sio wajibu wake maana siku Baba anamwoa alijiona yuko tayari kutunza familia.
Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?Naomba mshtue Heaven Sent mwambie naomba anionee kahuruma dear, ila mwambie kuwa mimi ni masikini sana!
Kisa cha mimi kujikatia tamaa kiasi hicho ni kwamba mimi ni masikini sana!
Unaachaje kumheshimu kwa mfano?
Mimi nanyenyekea kabisaaaa.
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.
Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.
Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.
2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.
Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.
Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.
Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.
Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.