PHILE1879
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 645
- 483
HAKUNA TOFAUTI.Hivi pana utofauti gani kati ya cheti cha ndoa cha dini na serikali? ... naomba kuelimishwa
Mashirika ya dini hupata vyeti kutoka serikalini ili wafungishe waumini wao.
HAKUNA TOFAUTI.Hivi pana utofauti gani kati ya cheti cha ndoa cha dini na serikali? ... naomba kuelimishwa
Ole wakoCha kwangu sasa hiko!!
Ngoja nkuketee kesho!
kila MTU kujipenda mwenyewe after marriage.yaan kila mtu anakuwa much knowswali why ndoa hazidumu?
HAKUNA TOFAUTI.
Mashirika ya dini hupata vyeti kutoka serikalini ili wafungishe waumini wao.

Vunga basiNa wewe una ndoa?
Kaka kumbe una akili hivyo ntakuiga kama ww nikikipataCha kwangu nimekiwekea Fram Nzur
Nimekiweka
Umuhimu utauona pale utakapoporwa mke/mume na ushahidi huna!! Unaweza jikuta umeenda NECTA kukitafuta!!!


Kumbe umeolewaCha kwangu hata sikumbuki niliwekaga wapi toka ile siku
Kan Bado tuu Mpka leo Mamii...??Kaka kumbe una akili hivyo ntakuiga kama ww nikikipata
b blessed....mwenyez akuzidishie utumie nkioa ctakuwa hivyo
Sasa cha serikali ndo kinachotumika, siku ya harusi unapewa vyote viwiliMi ninacho cheti cha ndoa cha dini. Naomba kujua kama kuna umuhimu wa kuchukua na cha serikali?
Mm tayali ila sikumbuki cheti nilikiweka wapi ntakitaftaKan Bado tuu Mpka leo Mamii...??