Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Cha dini kinatoshaaMi ninacho cheti cha ndoa cha dini. Naomba kujua kama kuna umuhimu wa kuchukua na cha serikali?
Cha dini kinatoshaaMi ninacho cheti cha ndoa cha dini. Naomba kujua kama kuna umuhimu wa kuchukua na cha serikali?
Hilo nalo neno![]()
![]()
wahi uhakiki icje kutwa ndoa nayo ni feki
Cha serikali ndo muhimu zaidi coz ndo kinachotambuliwa na serikali kwa masuala mbalimbali ya kisheria na kiserikaliSwali hilo nami nataman kufaham jibu lake
Yawezekana we ndo ukawa mke fekiIla sasa sijui ka vyeti ni feki au original
Utofauti ni kwamba kupitia cheti cha serikali ndoa yenu ndio inakuwa inatambuliwa kiserikali hata maofisini kwenye stahiki mbalimbali ndicho kinachotakiwa regardless mmefungia ndoa kanisani ama msikitini...kwa upande wa wakristo nnavyosikia wanapewa direct cha serikali but kwa muslims una chagua kama upate cha dini au cha serikali....experience mattersUtofauti wake ni upi ? .... je pana mambo ambayo hufanyika kwenye hcho cha serikali na hayapo kwenye cha dini?
Tema mate chini mkuuYawezekana we ndo ukawa mke feki
Ni muhimu kuwa na cheti cha serikali, ndicho kinachotambulika kisheria na kiutaratibu. Makanisa mengi hutoa cheti cha dini na serikali kwa pamoja ili utambulike kikanisa na kiserikali pia.Mi ninacho cheti cha ndoa cha dini. Naomba kujua kama kuna umuhimu wa kuchukua na cha serikali?
yesss chukua na cha serikali pia!Mi ninacho cheti cha ndoa cha dini. Naomba kujua kama kuna umuhimu wa kuchukua na cha serikali?
Sasa wewe umepokonywaUmuhimu utauona pale utakapoporwa mke/mume na ushahidi huna!! Unaweza jikuta umeenda NECTA kukitafuta!!!
Mi navojua ni kuwa cheti cha dini ni kilekile cha serikali tofauti ni mfungishaji wa hiyo harucyesss chukua na cha serikali pia!
nooo!!waislamu wana vyeti viwili...Mi navojua ni kuwa cheti cha dini ni kilekile cha serikali tofauti ni mfungishaji wa hiyo haruc
Kwa kuwa shehe au mchungaji au mtu yeyote yule anayefungisha ndoa lazm awe na cheti cha serikali kinachompa mamlaka na lzm akifungisha anatoa cha serikali akitoa kisichocha serikali
Atakuwa mfungishaji hewa.