Hakuna tofaut vyeti vinatimika aina moja tuHivi pana utofauti gani kati ya cheti cha ndoa cha dini na serikali? ... naomba kuelimishwa
" .... atakuwa mfungishaji hewa kwa hiyo ndoa hewa, wanandoa hewa, cheti cha ndoa hewa ....Mi navojua ni kuwa cheti cha dini ni kilekile cha serikali tofauti ni mfungishaji wa hiyo haruc
Kwa kuwa shehe au mchungaji au mtu yeyote yule anayefungisha ndoa lazm awe na cheti cha serikali kinachompa mamlaka na lzm akifungisha anatoa cha serikali akitoa kisichocha serikali
Atakuwa mfungishaji hewa.
hii hewa kila mahali ..... Mungu tusaidieUmuhimu utauona pale utakapoporwa mke/mume na ushahidi huna!! Unaweza jikuta umeenda NECTA kukitafuta!!!

Naendelea kuhabarika ....katika dini hususani uislam kuna mambo kadha wa kadha yakikamilika basi ndoa inakua imekamilika lakini katika mambo hayo cheti hakimo,kwani swala la ndoa ni swala la watu wawili mwanamke na mume na muumba wao sasa swala la vyeti halina mantiki yeyote kwani wakati wa ndoa kuna mashahidi wapo waliorasmi na wapo wale walioshuhudia ambao wote waliokuwepo siku ya ndoa,tatizo ni moja serikali inasema haina dini lakini serikali hiyohiyo inawaelekeza wanadini nini cha kufanya hapo ndipo mgogoro wa kimaslah unapokuja
Nakipata wapi sasa?yesss chukua na cha serikali pia!
mashart mengiiii.....lakn bado ukimpata aliyetimiza mashart ndoa hazdumu.basi inatubidi Tulane tu coz ov vyetimasharti na vigezo imekuwa mwiba mchungu
vizazi na vifoo(Rita)au kwa mkuu wa wilaya!!Nakipata wapi sasa?
RITA walishankataliavizazi na vifoo(Rita)au kwa mkuu wa wilaya!!
Kama unacho si unipe tuvizazi na vifoo(Rita)au kwa mkuu wa wilaya!!
Haaa. Haaa. Haaa.Cha kwangu sasa hiko!!
Ngoja nkuketee kesho!
Kama hajasajiliwa kiserikalinooo!!waislamu wana vyeti viwili...
cha bakwata na serikalii!!