Umuhimu wa Cheti cha ndoa

Umuhimu wa Cheti cha ndoa

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348
Napiga hodi jamvini ..... natumai mu wazima ...

Ndoa nyingi kama c zote ziwe zilizofungwa ktk nyumba za ibada, majumbani, bomani nk huambatana na wanandoa kukabidhiwa CHETI CHA NDOA ....

Yawezekana kwa wengine likawa ni jambo la kawaida (desturi) lisilo na UMUHIMU wowote .... but frankly speaking Cheti Cha Ndoa ni muhimu tena sanaaaaa .....

Tushirikishane UZOEFU tokana na changamoto ulizokumbana nazo ama alizokumbana nazo ndugu/ rafiki/ jirani nk kwa kutokuwa na CHETI CHA NDOA .... nawasilisha
 
Ukiajiriwa ndio utaona manufaaa ya cheti hiko.....malipo ya safari kwa familia na mtoto in case ya uhamisho na privilege zingine kibao
umenipa somo la muhimu sana
 
Back
Top Bottom