Umri wa Jaji Mkuu mpya M. Chande

Umri wa Jaji Mkuu mpya M. Chande

tukijua othman wa tiss ana umri gani na kuzaliwa nani alitangulia na ni mtoto wangapi then tunaweza kupata jibu la kukaribia
 
Asie mjuwa Chande na anaemuona katika picha atadhani ni Mzee na kachoka. La hasha, Chande anadunda tena yuko fit, physically na mentally. Wanaemfahamu anga zake wata-confirm hili.
 
Umeshaambiwa hawana undugu. Ni jina tu.

Jasusi:

You are my reliable source. Je jamaa anafaa kuwa CJ? Maana siku hizi mtu hapa JF anahukumiwa kwa dini, kabila au rangi yake.
 
I can vouch for judge Chande's age. We went to the same school and he was 3 classes behind me. He just aged faster after he was sent to East Timor. When I saw him after he got back I was a bit shocked. But he looks much better today.
Mkuu heshima kwako.

:hail: :hail: :hail:
 
Jasusi:

You are my reliable source. Je jamaa anafaa kuwa CJ? Maana siku hizi mtu hapa JF anahukumiwa kwa dini, kabila au rangi yake.
CV yake ni impressive. Amefanya kazi na Red Cross Geneva kama wakili, ametumika East Timor, amefanya kazi na United Nations tribunal.
Mimi sijui requirements za CJ lakini I would say Chande fits the bill.
 
Usiingize mambo mengine tofauti hapa, kama hujui kaa kimya uangalie wengine wanasemaje! Na kama ukubwa ndio hekima, basi Augustino Ramadhani asingelazimika kustaafu!

Jaji Ramadhani hajalazimishwa kustaafu bali yeye mwenyewe alitamka hadharani kuwa hataki kuongezewa muda.
 
Kwani umri wa Majaji kustaafu kisheria ni miaka mingapi?

Jaji wa mahakama kuu anastaafu akiwa na miaka 60, jaji wa mahakama ya rufaa miaka 65; ila rais anaweza muongezea muda jaji yoyote kama anaona inafaa. Hii ni kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo pombe ningekutajia kifungu, au ndio wale ambao hawajui hata rangi ya Katiba yetu!
 
Tanzania kuna umri wa aina mbili. Wa kwenye faili ambao unatumika wakati wa kustaafu na umri halisi wa mtu. Mara nyingi wa kwenye faili ni mdodo kuliko umri halisi!
Huyu mheshimiwa kaka yake ndio mkuu wa usalama wa taifa. Je huyo mwonekano wake ukoje?
 
CV yake ni impressive. Amefanya kazi na Red Cross Geneva kama wakili, ametumika East Timor, amefanya kazi na United Nations tribunal.
Mimi sijui requirements za CJ lakini I would say Chande fits the bill.

Jasusi:

Thanks very much. Endelea kubaki hapa JF maana utakuwa unaweka record straight. Nakumbuka kwenye mjadala wa kumpindua Nyerere, ulisema majaji wa Tanzania walikuwa kutoka Nchi za Karibiani. Kwa sababu nchi ilikuwa haina majaji wazawa. Leo kuwa na majaji wetu wenyewe kutoka kwenye makundi tofauti inaanza kuwa shida.
 
he was sent to East Timor for what? can u elaborate please /
I can vouch for judge Chande's age. We went to the same school and he was 3 classes behind me. He just aged faster after he was sent to East Timor. When I saw him after he got back I was a bit shocked. But he looks much better today.
 
Nadhani hukuelewa mchakato ulivyokuwa. Si kwamba nawalinganisha kwa vigezo vya elimu, ila ni kwamba mmoja anastaafu na mwingine anachukua nafasi ya mstaafu. Sasa hoja hapa ni kwamba anayestaafu anaonekana younger na mchangamfu kuliko anayechukua madaraka.
Nilisikiliza couds FM siku jana wakawa wanaema hata kukosa chakula bora husababisha mamvi kuzidi, let alone other factors... i hope kiongozi wetu huyu hakukumbwa na utapiamlo
 
he was sent to East Timor for what? can u elaborate please /
He was working for the UN and he went to help the UN mission in East Timor. He is a lawyer so I assume he worked for the legal system there.
Does that help?
 
Kama Jaji Mohammed Chande Othman ni mdogo wa Othman Chande Othman niliyesoma naye darasa moja 1963 hadi 1966 HH The Agakhan Dar ambayo sasa ni Tambaza atakuwa na umri huo. Baadae Othman kama tulivyomuita aliendelea "A" level 1967 hadi 1968 hapo hapo Agakhan Seco. Baba yao alikuwa wale "NAIZESHENI" wa kwanza (wenye vyeo vya juu Serikalini baada ya wakoloni kuondoka Tanganyika) mara baada ya Uhuru. Kwa hali hiyo baba yake tofauti na tuliozaliwa vijijini enzi hizo asingebuni umri wa mtoto wake. Pili kwa mpangilio wa watoto wakati ule watoto walikuwa wanapishana kwa miaka 2 na kwenda juu. Hawa watakuwa wamepishana 3 hivi. Watoto wa NAIZESHENI kabla ya Uhuru na kabla Nyerere hajaondoa Elimu ya kibaguzi walikuwa wanasoma Shule ambazo ni "fine" kama vile St Joseph, ya Dar, Iyunga Secondary School ya sasa na ile ya Mkwawa nk. Genetically kama ni yeye wanaweza fanana na kaka yake kwa TABIA YA USIKILIZAJI ZAIDI KULIKO KUONGEA AU KUZOPOKA
 
swala la muonekano liweza kuathiriwa na maisha magumu aliyopitia Jaji, ikumbukwe kuwa Jaji Ramadhani amekula Bata tangu akiwa kijana mdogo, na unaweza kujua hili kwakuangalia historia ya familia Yake, anza na yule Askofu Ramadhan, kila mtu kwao amekula kuku bila shida, wakati huyu Chande unaweza kuta alipingwa sana jua akiwa mdogo, ameanza kula Bata akiwa na miaka 40 hivi, ni mtazamo tu.

chande ni familia bora wewe! ulizia wenyeji wa maeneo ya upanga watakuambia! huyu hakulelewa kwa sadaka za kanisa kama ramadhani. habari ndio hiyo!
 
He was working for the UN and he went to help the UN mission in East Timor. He is a lawyer so I assume he worked for the legal system there.
Does that help?

sasa wewe jasusi mwenzako anakula bata we umebaki ooh nimesoma nae tambaza! umebaki kupiga majungu tu humu JF
 
sasa wewe jasusi mwenzako anakula bata we umebaki ooh nimesoma nae tambaza! umebaki kupiga majungu tu humu JF
Sasa ulitaka niende wapi ndugu yangu? Siye kila mtu aliyesoma Tambaza ameukata.
 
Back
Top Bottom