Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,560
- 2,543
Huwezi kuchangia bila kutusi?chande ni familia bora wewe! ulizia wenyeji wa maeneo ya upanga watakuambia! huyu hakulelewa kwa sadaka za kanisa kama ramadhani. habari ndio hiyo!

Mlimaliza tambaza mwaka Gani? Kipindi hicho mlikuwa wote A level au O level?
Upo pombe saa moja asubuhi saa za Tanzania, sasa sijui, maybe upo US ambapo ni usiku.