Kumbeee,!!
Humu kuna wakati huwa pengine tunawakosea Adabu 'Madingi na Mamazeri' wetu kabisa.
Tunawachukulia poa na kudhani ni ma-eji-meti zetu.
Fikiria watu wana mvua 50+, Na-hawasemi? Shikamooni ma-EJI-GO 😀
Tupo wengi tu mkuu. Watu tumenyeshewa mvua za tangu uhuru, mpaka leo zinatunyeshea tu. Hata matusi na kukosewa adabu tumeshaota sugu tumezoea, wala hatujibu!
Alikuwa na njaa huyo mbuzi
Mambo ya KatiBa ni zaidi ya miaka 15 imepita sasa, alikuwa wapi miaka yote?
Ni baada ya kupewa ulaji akakaa kimya na kuanza kuwaringishia watu VIETE...
Nilihitimu kidato cha nne wakati ambao ajira mpya za waalimu zinatoka. Kuna mwalimu alikuja shuleni kwetu katika story (baada ya kuhitimu na kurudi uraiani kusubiri matokeo) nikagundua namzidi miaka miwili. Najaribu kusema kuwa kuna watu walichelewa kuanza shule au walirudiarudia sana mpaka kuhitimu.