Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

Unamfananisha mungu wako muweza yote na watu wasiojua hata kichwani wana nywele ngapi?

Mungu wako anashindwa kuumba kitu kisicho na makosa kama mwanadamu?

Nipe sababu kwanini unadhani hakuna Mungu..
 
Biblia iliandikwa na watu tu, enzi za ujinga kabla watu hawajaaanza kugundua umri halisi wa dunia.

Hivyo ni wazi kuwa imebeba makosa yaliyotokana na ujinga wa enzi za uandishi wake.

Kila anayejua kufikiri ataona hilo, hata kama imani itamtaka alifumbie macho.

Ama unavuta bangi au uwezo wako kufikiri ni mdogo mno au uliwahi kuugua uendawazimu ndio maana hujui kuhusu maandiko matakatifu! Acha kukurupuka
 
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza

siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?

Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke

Siku ya 7 akapumzika!!
Siku ya 6 akaumba mtu kwa mfano wake, mwanaume na mwanamke.

Swali ni, huo "mfano wake" ni nani hapo? Yaani mfano wake yeye Mungu? Kwa hiyo sisi tunafanana na Mungu?

Au "mfano wake" mwanadamu? Na kama ni mfano wake mwanadamu ambae hakuwepo, unaweza kuumba kitu kwa mfano wa kitu kisichokuwepo? ?
 
Kitu kitawezaje kuwa hakipo then kijipinge chenyewe?

Come on my brother Mungu yupo

Idea ya mungu muweza yote na.mwenye mapenzi yote aliyeuumba ulimwengu huu uliojaa maovu haisimami, kwa.sababu inajipinga yenyewe.

Kama.idea tu haisimami, na.inajipinga yenyewe, ni.wazi huyo mungu hawezi kuwapo.
 
Nipe sababu kwanini unadhani hakuna Mungu..

Kwa.sababu idea nzima ya mungu mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu huu tulionao inajipinga yenyewe.

Lets consider the argument.

Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Kama leo tusivyoweza kurudi nyuma katika muda.

Kwa nini hakuchagua hilo?

Aliweza kweli?

Kama aliweza.na hakufanya hivyo,.basi hana upendo wote. Alikuwa na uwezo wa kutupetesha akatubania. Hana upendo wote.

La, kama hakuweza, basi hana uwezo wote.

Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu wenye mabaya (unaowezekanika kuwa na mabaya, sio tu ambao.mabaya yanafanywa) kama huu.
 
Ama unavuta bangi au uwezo wako kufikiri ni mdogo mno au uliwahi kuugua uendawazimu ndio maana hujui kuhusu maandiko matakatifu! Acha kukurupuka

Hujajibu swali.

Kama mungu ni muweza wa yote na mjuzi wa yote kwa nini kaumba ulimwengu ambao watu wanavuta bangi na kuwa wendawazimu?

Ina maana alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekaniki kuwa na wazimu?

Au aliweza akatubania tu?

Kama alishindwa, hawezi yote.

Kama aliweza akatubania tu, hana mapenzi yote.
 
Kwa.sababu idea nzima ya mungu mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu huu tulionao inajipinga yenyewe.

Lets consider the argument.

Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani. Kama leo tusivyoweza kurudi nyuma katika muda.

Kwa nini hakuchagua hilo?

Aliweza kweli?

Kama aliweza.na hakufanya hivyo,.basi hana upendo wote. Alikuwa na uwezo wa kutupetesha akatubania. Hana upendo wote.

La, kama hakuweza, basi hana uwezo wote.

Mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu wenye mabaya (unaowezekanika kuwa na mabaya, sio tu ambao.mabaya yanafanywa) kama huu.

hizi sifa wanazompa ni za kubumba tu!!
 
Marehemu mungu wao ambaye ni "NEGATIVE GOD". Oooops alisha kufa kitambo,,,,

Marehemu mungu wao kashindwa kusema wapi alipo Mungu, basi na vikwembe vya Mbagala vinafuata mkumbo. HAKUNA HATA NON THEIST MMOJA HAPA DUNIANI MWENYE UBAVU WA KUTETEA IMANI YAO YA NEGATIVE GOD, I MEAN HAKUNA. WOTE NI WATUMIZI WA AKILI ZA MUNGU WAO HASI AMBAYE HAWANA UBAVU wa kumtete wala hawana uwezo wa kutuoneysha wapi alipo zaidi ya kuonyesha kuchanganyikiwa.

HUKO NDIKO TUNAKUUITA. AKILI TEGEMEZI.

dini ni imani. dini haiihitaji uthibitisho wa kimwili na kidunia. dini kile ukiaminicho bila kulazimishwa na mtu. kwa hiyo kama wewe ni mkristo, muislam, wabuddist, waabudu satanism n.k. huitaji kuthibitishiwa kidunia ya kwamba unachokiamini ni sahihi. mfano: magaidi wanaojitoa muhanga kwa kivuli cha dini, tutawalaumu kidunia lakini kiimani wameamini wanachofanya ni sahihi. haitatokea kamwe uthibitisho wa kidunia maana dini zote zina-deal na ulimwengu wa kiroho. haitakuja kutokea uambiwe uthibitisho wa kidunia kuhusu Mungu huyu ninaye mwamini. kama unataka kuwa na dini baada ya kuthibitishiwa kisayansi, basi huelewi maana ya dini. na kwa kuwa hakuna sayansi ya kiroho, nothing will be proved scientifically. I believe in God na naamini yupo huyo tu. na imani zingine zinaamini vivyo hivyo kwa miungu yao. there is no scientific proof. and thats the whole point of a religion/belief.
 
kwa hiyo kuna mungu wengi tu, kila imani na mungu wake?
 
Idea ya mungu muweza yote na.mwenye mapenzi yote aliyeuumba ulimwengu huu uliojaa maovu haisimami, kwa.sababu inajipinga yenyewe.

Kama.idea tu haisimami, na.inajipinga yenyewe, ni.wazi huyo mungu hawezi kuwapo.

hili swali nimekujibu vizuri tu lakini hutaki kuelewa na kuanza kunikimbia
 
Hyo itqbiti umzoee, huwa hajibu maswali zaidi ya kukuweka kwenye ignore list

kweli mkuu aliuliza maswali yake nikamjibu yangu anakwepa
kama hawezi kujibu ni bora ashinde MMU tu sio huku
 
kama mtu HAAMINI Mungu na hana nia, kwa nini nyinyi watu wa Mungu mumlazimishe. IMANI inatoka ndani ya mtu. siyo mimi wala mzazi wako anayeweza kuku-convince. its up to oneself to actually believe in something/someone. so, all of you who believes in Him, save your breath and embrace the faith you have. because these are those times which were once written by the prophets and apostles. i know you know what i mean.
 
hivi unafikiri nani analazimisha imani ya mwenzie ??
 
Hujajibu swali.

Kama mungu ni muweza wa yote na mjuzi wa yote kwa nini kaumba ulimwengu ambao watu wanavuta bangi na kuwa wendawazimu?

Ina maana alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezekaniki kuwa na wazimu?

Au aliweza akatubania tu?

Kama alishindwa, hawezi yote.

Kama aliweza akatubania tu, hana mapenzi yote.

Ilikuwa ni hivyo na mpaka leo ingekuwa ulimwengu wa hivyo, ila Adamu na Hawa walitibua na hapo ndo ulimwengu wa binadamu kuchagua mwenyewe njia ya kwenda ulipoanzia.
 
Hapa kuna watu kama wa3 wameshavuruga ladha ya uzi kwa kuendekeza ubishi wa kijinga. Kama mnataka kubishana si muanzishe uzi wenu? Watu wanajadili umri wa dunia nyie mnatuletea swaga za mungu hayupo mara yupo.
 
Ukubali kukosolewa ndugu yangu ndio kujifunza kwenyewe,hakuna ajuaye kila kitu! Samahani kama nimekukwaza.

tatizo unakosoa upuuzi..kwa akili yako unadhani sijui kuandika maarifa?Yaani nijifunze kuandika neno maarifa? Kuwa serious japo kidogo!
 
Back
Top Bottom