Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

mkuu kuumbwa kwa ulimwengu kutofautiana na kuumbwa kwa binadamu kwa siku zisizozidi 5!!
Hivi unajua siku moja iliyotajwa kwenye bibilia hasa agano la kale ni sawa na siku 1000, au ndo utachanganyikiwa kabisa!
 
mbona hukunipa jibu la maan ya dhambi ?
kushindwa kujibu maana yake hujui.

Unanuaje nimeshindwa kujibu na sio kwamba sikutaka kujibu?

Wewe unajua dhambi ni nini? Unaweza kunijibu? Usiponijibu maana yake hujui jibu?
 
dhambi maana yake nini ?
 
Hivi unajua siku moja iliyotajwa kwenye bibilia hasa agano la kale ni sawa na siku 1000, au ndo utachanganyikiwa kabisa!

Alisema "ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya kwanza" kwahiyo hapa swala la miaka 1000 haliingii hapa
 
hiyo dhambi ndio nini sasa ?

Wewe unaielewaje? Kwa mujibubwako mtu akikwambia neno dhambi unalielewaje?

Mungu wako anahukumu watu kwa kutenda asivyopenda au hahukumu?
 
niambie dhambi unailewaje ili nikusaidie maana wewe kama mgonjwa sasa umekuja kwa daktari siwezi kukuambia maana ya dhambi mpaka nipate uelewa wako kuhusu dhambi.
 
Kwa nini mimi ndiye niwe mgonjwa?

Na kwa nini mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwepo na wagonjwa?

Ina maana alikuwa hawezi kuumba ulimwengu ambao ugonjwa hauwezekani?

Au aliweza hakutaka tu?
 
Kwanini unachanganyikiwa?

Sayansi na Biblia kipi kilianza?

Unaweza kujua mwanzo wa kilichoandikwa kwenye biblia?

Ilianza sayansi ya maandishi, then karatasi.....mwisho biblia ikaandikwa Kwa kutumia sayansi...

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Kwa nini mimi ndiye niwe mgonjwa?

Na kwa nini mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwepo na wagonjwa?

Ina maana alikuwa hawezi kuumba ulimwengu ambao ugonjwa hauwezekani?

Au aliweza hakutaka tu?

kwa nini wewe usiwe mgonjwa ?

nipe maana ya dhambi kwanza hayo mengine ufafanuzi ninao.
 
Acheni kubishana vitu vya kipumbavu hiyo biblia km maneno ya mungu hata page kumi hazifiki kila mwaka kinabadilishwa nakuongezwa maneno umeona wapi maneno ya mungu yakatiwa mkono mara agano jipya mara la zamani juzi tuu imetoka biblia mpya kwa kifupi biblia inamakosa uhalisia wa kitabu cha injil hakuna hata zaburi hakuna kumbukumbu

Na hao wanasayansi ndo kabisa hakuna kitu iyo biblia inaafadhali toka kuna,wanasayansi wanakwambia ulimwengu ulikuja tuu kuna wengine ndo matahira wanasema binaadamu alikuwa sokwe eti mwanasayansi huyoo mambo ya mungu muachie mungu kutaka kujua siri za mungu ukishajua ili iweje

Na baadae utaleta thread mungu yukoje,katoka wapi,anamiaka mingapi na asili gani acha uboya dogo elimu ya kumjua mungu na ulimwengu wake kwa bin adamu una mipaka yake
 
mbona hujawataja wale wanaogeukia upande mmoja wa dunia wale magaidi wanaooa watoto wa miaka 9 ?
 
kwa nini wewe usiwe mgonjwa ?

nipe maana ya dhambi kwanza hayo mengine ufafanuzi ninao.

Kwa nini mimi.niwe mgonjwa kama ulimwengu.ymeumbwa na mungu mwenye ypendo wote na ujuzi wote?

Ina.maana alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna ugonjwa?

Au aliweza akatubania tu?
 
Back
Top Bottom