Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

Hatufanani.

Na hapo ndipo logic inapokuja kusawazisha nani ana make sense na nani hana sense.

Jibu lako limefeli mtihani wa logic.

Your answer is logically inconsistent.

kama hatufanani kwanini mabaya kwako na mungu ayaone mabaya ?
mbona wauwaji wanashangilia kama yangekuwa mabaya??
 
Mungu anatakiwa kuwa na standards za juu zaidi ya za kibinadamu, sio za chini zaidi ya kibinadamu.

Huyo mungu wenu ana standards za chini zaidi ya za kibinadamu.

Na kashindwa ku pasi mtihani wa darasa la saba wa logic.
 
hizo standard anapanga nani ?
 
mungu yupo nikimwomba hujibu maombi ?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao utahitaji viumbe wake wamuombe?

Kwa nini hajaumba ulimwengu ambao mambo yanaenda vizuri tu kiasi viumbe wake hawahitaji kumuomba?

Huyu mungu ana matatizo ya kisaikolojia mpaka awe anapenda kuombwa ombwa kila wakati ilhali anaweza kutengeneza mambo yaende vizuri bila ya yeye kuombwa?

Mungu alipoumba ulimwengu aliweza kuumba usiwezekanike kuwa na mabaya au hakuweza?
 
hizo standard anapanga nani ?

Hata ndogo tu za kibinadamu mbona zinamshinda?

Binadamu ana morality inayokataza kuua, ukiua unafungwa jela.

Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekaniki.

Badala yake kaumba ulimwengu ambao watoto wasio na hatia wanakufa kwa matetemeko ya ardhi na maradhi.

Kwa nini mungu anawabania hawa viumbe wakati uwezo wa kuwapetesha anao?

Huyu mungu kweli unaweza kusema ana upendo wote huyu?
 
Thibitisha mungu yupo.

Ukishindwa kula ugali wako ukalale, achana na hadithi za kujifaragua na habari za kutetea kitu usichokijua.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao utahitaji viumbe wake wamuombe?

Kwa nini hajaumba ulimwengu ambao mambo yanaenda vizuri tu kiasi viumbe wake hawahitaji kumuomba?

Huyu mungu ana matatizo ya kisaikolojia mpaka awe anapenda kuombwa ombwa kila wakati ilhali anaweza kutengeneza mambo yaende vizuri bila ya yeye kuombwa?

Mungu alipoumba ulimwengu aliweza kuumba usiwezekanike kuwa na mabaya au hakuweza?

kama hujaomba utapataje wakati katuagiza tuombe ?
 
Kwa nini mungu ambaye anajua mahitaji yako kabla wewe hujazaliwa akuagize uombe?

Ana matatizo ya kisaikolojia yanayohusiana na narcissistic personality ya kupenda kuombwaombwa muda wote hata kama anajua unachohitaji na uwezo wa kukupatia anao?
 
Hata ndogo tu za kibinadamu mbona zinamshinda?

Binadamu ana morality inayokataza kuua, ukiua unafungwa jela.

Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekaniki.

Badala yake kaumba ulimwengu ambao watoto wasio na hatia wanakufa kwa matetemeko ya ardhi na maradhi.

Kwa nini mungu anawabania hawa viumbe wakati uwezo wa kuwapetesha anao?

Huyu mungu kweli unaweza kusema ana upendo wote huyu?

kwa nini standard apange binadamu wakati mungu kasema binadamu wote ni sawa ndio maana hata wezi wanamuomba ili wafanikiwe
 
Back
Top Bottom