is so sad kuwa watoa maoni wengi wako so shallow
mtoa maada, biblia inasema HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI. period hii iko mwanzo 1:1
all ur bing bang theories, gap analysis,.explosions.n.k viko hapo
then bible inaelezea kuwa dunia ilikuwa ukiwa..
all creation six days ni figurative language lakini kuna gaps kubwa sana in between, even bible says siku moja ni sawa na miaka 1000..
ni sawa na kusema Mungu aliumba adamu na hawa....that was just spiritual representation kuwa aliumba me na ke...lakini ukisoma biblia utagundua hakuwa adamu na hawa pekee na ndio maana kaini akapata sehemu ya kukimbilia na kuoa!!!!
tumeidharau biblia, but that is undisputable divine books inaelezea past.present na future...all dinosaurs, ukimwi, nuclear, mpaka android vimo mule. kuelewa just tune urself into position as explorer na sio kama unasoma magazeti ya shigongo
bible ni collection ya vitabu vilivyoandikwa katika span ya miaka tofauto sana....na sehemu tofauti lakini viko connected
wabe