naweza nisiwe na sababu mnazozitaka ila in normal circumstances na maajabu na kila kinachofanyika Mungu ninayemuabudu yupo na anaishi hata milelel
ninachosema ni kwamba kumuelezea mungu kwa logic au sayansi ni kama kujaribu kutenganisha kwa nyundo kitu kinahitaji LHC. logic imetokana experience ya mwanadamu kwamba ukiwa na upendo tunategemea utatenyeneza mazingira yasiyo na uovu kinyume chake huna upendo. hii imetokana na akili yetu yenye limitation kubwa. na hatuwezi kuona makosa kwa sababu akili hairuhusu. tunahitaji nyenzo tufauti au combination ya nyenzo,(imani ikiwepo) ili kumuelezea mungu.Kama logic na sayansi ni inferior then idea ya mungu isingeshindwa kupita mtihani wa logic.
Kimsingi unachoniambia hapa ni kwamba, mungu si nyundo, mungu ni zaidi ya nyundo ni kama nuclear power au The Large Hadron Collider.
Sawa basi, kuna hili jiwe naweza kulipasua kwa nyundo, imekuwaje hiyo more powerful nuclear power au Large Hadron Collider inayo split atoms ishindwe kuvunja jiwe linalovunjwa kwa nyundo?
Iweje mungu mwenye nguvu zote ashindwe kupota mtihani mdogo tu wa logical consistency?
ninachosema ni kwamba kumuelezea mungu kwa logic au sayansi ni kama kujaribu kutenganisha kwa nyundo kitu kinahitaji LHC. logic imetokana experience ya mwanadamu kwamba ukiwa na upendo tunategemea utatenyeneza mazingira yasiyo na uovu kinyume chake huna upendo. hii imetokana na akili yetu yenye limitation kubwa. na hatuwezi kuona makosa kwa sababu akili hairuhusu. tunahitaji nyenzo tufauti au combination ya nyenzo,(imani ikiwepo) ili kumuelezea mungu.
Hujathibitisha kwamba yupo.
Huyo anaongoza kwa flip flops, maana sasa anajijibu mwenyewe.
Sasa Mungu kumbe yupo........ Free ideas
Jamaa analekea kwenye Uwehu, mwishowe amekuwa kinyangarika guluguja...
Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.
Kwa sababu hakipo ili kuthibitishika, kwamba hakipo.
Kilichopo ndicho kinathibitishwa kwamba kipo.
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Kaka kuna watu wa Jamii ya THAMUD, na wengine wa jamii ya ADD.
Hawa walikua wabishi sana kuamini kama Mungu yupo. Sababu tu wao waliumbwa na miili mikubwa hivyo wakajiona wao ndo kila kitu.
Mungu unaemkana hapa aliwatupia upepo tu, wote wakapukutika. Kwahiyo angalia sana Kiranga wangu, tusije tukakukosa hapa jukwaani siku chache zijazo.
Ila naamini watu wa aina yako Mungu hupenda kuwapa muda mrefu zaidi duniani ili pengine huko mbeleni unaweza ukabadili Mawazo then ukamjua Mungu vizuri!!
SI Kweli! Kama kitu hakipo Kisayansi unaweza kuthibitisha hilo na kama Kipo pia unaweza kuthibitisha kama kipo! Labda kama hamko kwenye mambo ya Sayansi hapo sawa!
Kwenye Sayansi hakuna mambo kama hayo! Kwenye sayansi una uwezo wa kuthibitisha uwepo wa kitu au kutokuwepo kwake, hivyo kama ninakwambia kwamba kuna Virusi kwenye ini ninaweza kuthibitisha kama kweli wapo kwenye ini labda kwa kutumia Ultrasound nikakuonyesha kwamba kwenye hili Ini kuna Virusi, lkn kama siwezi kuthibitisha uwepo wa hao kwenye ini siwezi kusema wapo na wala pia siwezi kusema hawapo kwa maana Mgonjwa ana maumivu!
Vivyo hivyo kwenye mambo ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu hakuna Mtu (mpaka sasa) anayeweza kuthibistiha kama Mungu yupo na wala pia hakuna anayeweza kuthibitisha kwamba Mungu hayupo (Kisayansi!)
Hivyo kama unaongelea Kisayansi pia na mimi ningependa unipe Uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu!
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Mungu nilishampa.challenje kama yupo anipige radi, miaka.kadhaa iliyopita.
Mpaka sasa nadunda.
Again, unaamini.mungu.kwa.uzembe na woga kama nilivyosema hapo mwanzo.
Teh teh tehe!!!Ulipoandika ....!!
so mkuu unadhan ni nini kina control vifo kwamba huyu afe akiwa mdogo na huyu afe akiwa amelala au vingnevyo
Hata kama.sijui jibu la swali hili, hilo halimaanishi kwamba jibu lake ni mungu.
Mtu akiniuliza 2 + 3 = ?
Naweza kuwa sijui jibu. Lakini naweza kuwa najua jibu ni lazima litakuwa kubwa kuliko 2 na pia kubwa kuliko 3.
Kwa hiyo mtu akiniambia 2 +3 = 1 nitamwambia jibu hilo si sahihi, kwa. sababu 1 ni ndogo kuliko 2.
Kwa hiyo sihitaji kujua kifo kinatokeaje ili kujua kwamba mungu ni hogwash.
Habari zenu wakuu!! Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita). Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Mungu nilishampa challenge kama yupo anipige radi, miaka kadhaa iliyopita.
Mpaka sasa nadunda.
Again, unaamini.mungu.kwa.uzembe na woga kama nilivyosema hapo mwanzo.
ok whatever it is ila unakubali kuna natural power ambayo inaongoza dunia