Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,152
- 15,607
Ukimsoma katikati ya mistari hii kitu inamla yeye mwenyewe,hakuna wa pembeni aliyemshangaa na kumuuliza mbona hujaowa ila nafsi yake ndo inamdai kufanya hivyo.Kikubwa chukua muda kuwaza, je? Unaishi maisha yako au unaishi kwa presha ya jamii inayokuzunguka ?
Ni mitihani sana mleta mada Mungu akuongoze ndugu yangu.