Umri umeenda, nataka kuoa ila kimaisha sijajipanga naombeni ushauri pa kuanzia

Yaani wwe bado unataka kumzidishia umasikini,Kama kwa Mchumba wake kuna furusa bora azitumie kupanda kiuuchumi kuliko kwenda kijijini na kuchukua Mzigo zaidi!! Lakini akiona Mchumba haeleweki ampige chini faster afanye mipango mingine!!
Unafahamu nini juu ya matulivu nyumbani?
 
Back
Top Bottom