Umejuaje bday yake ni december?Mkuu bado miez 4 ugonge 30😎
Mkuu acha uongo miaka 49 uishi maisha ya hivyo ninayo ishi Mimi kijana wa miaka 25 na hapo roho inaniuma29 too young, watu tuna miaka 49 December nafikisha 50 nipo kwa baba na mama !
Hapa nipo sitting room, umeme umeisha , wamenikatisha tamthilia yangu ,,,,nasubiri baba arudi aweke umeme !
Typing error mkuuUmejuaje bday yake ni december?
DAH....mwanangu ngoma bado mbichiKama mnavyoona kichwa Cha habar hapo Sina mke Wala mtoto na hapa bado sielew nawaza juu hili
Sasa tufanyeje mkuu ,,,,,December 50, hapa nipo kwa dingi tunagombania remote sebuleni !Mkuu acha uongo miaka 49 uishi maisha ya hivyo ninayo ishi Mimi kijana wa miaka 25 na hapo roho inaniuma
DUh humu ndani mnatupanga sana we bibi wa miaka 72 hivi mnatuona kama matrako yenu et🤔Mimi na umri wangu nilionao sasa wa miaka72 nimekuja kuoa na kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 47 na sasa mtoto wangu wa kwanza ana miaka 25 na amemaliza degree chuo kikuu Dodoma. Unawahi wapi kijana? Piga nyeto kupoza hicho kichwa.
Sio kweli japo mimi Nina chumba changu cha nje na vitu vyangu vya ndani full kabisa ma tv bufa sepeano dish ya azam na vyombo vya kupikia ges kitandaSasa tufanyeje mkuu ,,,,,December 50, hapa nipo kwa dingi tunagombania remote sebuleni !
mwanamke anaweza kuzaa akiwa na umri wa miaka 47? Kua basi. Mimi ni mwanaume bhana.DUh humu ndani mnatupanga sana we bibi wa miaka 72 hivi mnatuona kama matrako yenu et
Namimi nmeshangaa,31 bado Sana tena Kwa Maisha haya magumu ya kitanzaniaWatu wanaoa na 40 unasema 31?
Au umekosea kulogout uende kwenye ID nyingne??Mimi na umri wangu nilionao sasa wa miaka72 nimekuja kuoa na kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 47 na sasa mtoto wangu wa kwanza ana miaka 25 na amemaliza degree chuo kikuu Dodoma. Unawahi wapi kijana? Piga nyeto kupoza hicho kichwa.
Ni mwanaume ila unatabia za wasenge si unawajua lakini?mwanamke anaweza kuzaa akiwa na umri wa miaka 47? Kua basi. Mimi ni mwanaume bhana.