Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 972
- 1,639
Wewe ni MO brother!👏IQ yako ni ndogo Sana kijana, badala utafute hela unawaza K, nilipofikisha 1mil USD at 40yrs old niliitisha interview ya kutafuta mke walijitokeza walimbende zaidi ya 500 kwenye isahili. Hivyo tafuta hela. Usioe mwanamke asie type yako kisa hauna hela Bora usioe kabisa.