Umoja wa mataifa: Syria haitavamiwa kijeshi

Umoja wa mataifa: Syria haitavamiwa kijeshi

hawa magharibi kwanza warekebishe Amani Libya kabla hawajaja na ujinga mwingine. Huko Syria kazi yao ni kuwalinda ISIS tu wao ndio wanawapa silaha . Wakiona ISIS wanadundwa ndio wanaleta upotofu wao umoja wa mataifa. inaonesha mpaka sasa wamekwaa na hao ISIS wakiwarudia wenyewe ndio wataipata vizuri
 
Kwa huko wacha hali hiyo iendelee tu syria nao ni wahuni na wametumika tumika sana. Sasa ule ukanda utakuwa katika hali nzuri. Huu mchezo unachezwa vizuri sana na Marekani ku weaken mataifa yenye ugaidi. Na ndo maana marekani wanajifanya kama wanataka hawatak.ila wanataka hali iendelee kuwa hivi hiv nchi zote zenye kuonekana zlifadhiri sana magaidi. Kwa libya ghaddaf anafahamika sana na mikakati yake. Na hasa sisi tukumbuke alivyomsaidia idd amin kuua watanzania wenzetu. Alivyoishi ndivyo alivyokufa. Ni kanuni tu ya ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga
 
China na yeye huwaga ni snitch tu, sijui mpk aje awekewe no fly zone kwake ndo ataelewa umuhimu wa kua na msimamo
China ana mikataba ya kiuchumi(kibiashara) na wamarekani, wafaransa na Warusi ndio maana kakaa neutral ktk hii issue lakini subiri aguswe mshirika wake mkubwa North Korea utaona makeke yake.
 
China na yeye huwaga ni snitch tu, sijui mpk aje awekewe no fly zone kwake ndo ataelewa umuhimu wa kua na msimamo

Mkuu inaonekana hufahamu kinachoendelea kwa sasa Syria.Labda tu nikwambie askari wa kichina wapo syria tangu august na wanashirikiana na serikali ya syria pamoja na rafiki yake Russia bila kumsahau Iran.Sasa siku US intelligence walipojua na kuona jeshi la
China lipo syria walipata mshtuko mkubwa sana.Sijui Kama unafahamu bunge la China lilipitisha bill inayoruhusu askari wake kwenda kupigana nje ya nchi ya Uchina pale ambapo itaombwa msaada wa kijeshi?
Watch for urself:


 
Nahisi vita kubwa nyingine ipo mlangoni. Ila zaidi nawahurumia wasyria kwasababu wao ndio watakaoumia sana
 
dunia nzima ishajua ukweli wa hii vita, marekani , washirika wake na media zao zinatumia nguvu sana kuendeleza propaganda zao. kwa sasa ishajulikana nani yupo nyuma ya ISIS and who is Aboubakar Al Baghdad.
 
Russia hawezi kukubali kuchezewa tena na mmarekani,Marekani alizoea vya kunyonga.
Baba wa dunia amerudi ( peace maker) RUSSIA.
Hajawahi kufanya nchi yoyote koloni lake duniani
Hajawahi unga mkono ushoga
Hajawahi chonganisha mataifa ya wenzie.
Hajawahi wachokoza wamarekani ( mwenyewe ndo humchokoza)
Analinda amani ya kweli ya dunia.
RUSSIA NDO FATHER
RUSSIA BABY
RUSSIA BABY.

Russia Baby
Russia baby
 
Wakiivamia baadae watatuletea zile story za Obama kuhusu libya kwamba walifanya makosa kuivamia.... nakumbuka mwalimu wangu aliniambia kua "wale ambao hawakumbuki historia, ndio ambao kimakosa hurudia makosa ya kihistoria". sasa sijui wenzetu hua hawakumbuki historia au ndio business as usual

Wanakumbuka historia ila wanaona hawana cha kupoteza ndio maana wanarudia madudu yale yale
 
Back
Top Bottom