Umoja wa mataifa: Syria haitavamiwa kijeshi

Umoja wa mataifa: Syria haitavamiwa kijeshi

fe2c72fb0a6b60a2ca49e5a07c1f3d4c.jpg
 
Ukitaka kujua warus wakoje hapo Syria ni mfano tu huo, waiguse ukrane kwa kufanya ujinga wao huo au kuifanya ukrane iwe chin ya UE hapo utajua kama urusi ni nani, cause ukraine ana project zake nyingi sana ameacha urusi ndo mana walipotaka fanya fyoko akachukua cremia
 
Wameshaona mkuu
 
Russia wakisema wanasimamia kitu wanamaanisha. Kupitia link hii unaweza kuona live streaming ya vituo ambavyo wameweka kamera kufuatilia wale wanohujumu njia walizotenga kwa ajiri ya wale wanaotaka kuondoka eastern Allepo.
Link hii inasimamiwa na kuendeshwa na Wizara ya Ulizi ya Russia.

Live webcast of situation in Syria with real time surveillance cameras : Ministry of Defence of the Russian Federation
Jamaa hawafai....vitu mpaka tarehe ya leo...yaani ki ufupi ukitazama na wewe unaajikuta upo Allepo...
 
Back
Top Bottom