Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,366
Hakika !CCM hawaja wahi jenga ofisi, wamepora za TANU na majengo ya serikali... kuna mwaka yote yatarudi maana ni ukweli ambao hauna utata! It is on concrete record.
Kuna mtu aliwahi niambia pia utajiri huo ccm walio nao ni mali zile za kupora kipindi kile cha ujamaa wakazifanya ni za chamaHakika !
Hayo majani hapo mbele ni bangi?
CHADEMA ni msingi ....CHADEMA ni mpango wa Mungu na mbadala wa ccmPamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema , wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzim...
HaijakamilikaView attachment 1792135
Mbona ofisi haina eneo la bendera kama ilivo hapo makao makuu
eeh tunapashaHayo majani hapo mbele ni bangi?
Mungu ibariki chadema ,mungu wabariki Makamanda wote wa NjombePamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema , wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima...
Hahahaaaa......cha Njombe siyo mchezo bwashee!Jo unaumia sana naona
Kupanga kwa baba mkwe pale ufipa nako NI kujenga? Nyumbu hovyo kabisaCCM hawaja wahi jenga ofisi, wamepora za TANU na majengo ya serikali... kuna mwaka yote yatarudi maana ni ukweli ambao hauna utata! It is on concrete record.