Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,471
215,291
Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima.

Malisa_GJ_on_Instagram:_“Anaandika_@rose_mayemba_Mwenyekiti_wa_Chadema,_mkoa_wa_Njombe._______...jpg


Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe, ikumbukwe kwamba ofisi hii na nyingine zinazoendelea kujengwa nchi nzima zinajengwa kwa hisani ya wananchi wenyewe walioamua kuchangia chochote walicho nacho.

Kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kufanya kazi ya Mungu basi tafadhalini sana wananchi , tafadhalini , endeleeni kuchangia ujenzi wa nyumba za Chadema nchi nzima kwa lengo la kukiwezesha chama hiki kukomboa nchi yenu , Hakika kwa kazi hii iliyotukuka Mungu atawarudishia mara dufu .
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom