umoja gest house sinza mapambano

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest
 
Subiri niende fasta nikapate huduma inawezekana hio ni promosheni bhana, AIDS is Real
 
Haha Aisee ni balaa gest iko nyuma ya police mabatini yani ni noma ukimwi kwa only 3000
 
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest
Watamu??
 
Ukifika hawataki mtu wa kulala wanataka ugonge utimke zako nendeni mkajaribu
 
Kweli safari bado ni ndefu!!! elimu ya ukimwi stil inahitajika, kwani hadi leo mtanzania mwenye uwezo wa ku-access internet hajui kuwa UKIMWI hauambukizwi kwa malaya kuchukua chumba gesti
 
Aisee ukimwi hauwezi kuisha bongo hii. Kuna gest inaitwa umoja gest house ipo nyuma ya kituo cha police mabatini, malaya wamechukua rums hapo kumekuwa ni danguro, ukifika tu unatoa elf mbili yako unagonga mzigo. Halmashauri ya jiji tupieni jicho kwenye hii gest

Hakuna uhusiano kati ya malaya kuchukua chumba gesti na mwisho wa ukimwi, kwani ukimwi hauenezwi kwa malaya kuchukua chumba gesti. Kwenye critical thinking tunaita unsound conclusion, kwenye logical thinking tunaita fallacy (or void)
 
Back
Top Bottom