matyhans
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 611
- 403
sio hujaelewa kinahusiana vp na picha sema hujanielewa kabisa.... i meant sisi wa kutoka koromije hatuna utashi wa kuchanganua mambosijaelewa kati ya ulichokiandika kinahusiana vipi na picha!
sio hujaelewa kinahusiana vp na picha sema hujanielewa kabisa.... i meant sisi wa kutoka koromije hatuna utashi wa kuchanganua mambosijaelewa kati ya ulichokiandika kinahusiana vipi na picha!
chumba cha giza , with two openings...unaona reflection ya mwanga kwenye hilo dirisha depicting dirisha image na kiti image....?????????????????????????????????
Your life is the reflection of the thoughts you hold in your mind.
Feed your mind only with thoughts that can help you improve mentally
Yes lady you are cleverYou two walk in my mind. Kumbe I'm that clever.
vifungo vyengine ni bora kuviepuka kwa maana vikikunasa ni ngumu kutoka hata wale uwategemeao kukusaidia wakiunga nguvu zao(mwanga,ukuta,maji) watashindwa nakubaki kukutazama na picha yako(hicho kivuli cha kiti ukutani) itabaki machoni mwao pasipo msaada wowote so take care.Can you share what you see please?