Umiza kichwa!! tafsiri hii picha..

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
30,179
69,237
pain_title1.jpg
 
chumba cha giza , with two openings...unaona reflection ya mwanga kwenye hilo dirisha depicting dirisha image na kiti image....?????????????????????????????????
 
chumba cha giza , with two openings...unaona reflection ya mwanga kwenye hilo dirisha depicting dirisha image na kiti image....?????????????????????????????????
ha ha! mkuu tafsiri sio utranslate unachokiona ktk lugha!unafikiri kinamaanisha nini..?
 
ha ha! mkuu tafsiri sio utranslate unachokiona ktk lugha!unafikiri kinamaanisha nini..?
that was to be asked in psychological reflection, as it is , is a far fetched concept anyway, unless you are a psychologist
 
unaweza ukamwamini mtu kwa mwonekano lakini sio halisi/rily. mzaniae ndio kumbe sio.

kuna dirisha na kivuli cha dirisha kiti na kivuli cha kiti na vyote vinaonekana ni sawa lakini sio sawa kimoja ni halisi kingine sio halisi.
 
Katika Maisha hakuna kitu kipya unachokiona leo(reflection ya dirisha) hakijaanza leo, kilikuwepo(dirisha halisi nyuma ya kiti) kitu muhimu ni kujitafakari kuanzia nyuma(reflection ya kiti) mpaka ulipo sasa(kiti halisi). Unataka nini katika Maisha.
 
Back
Top Bottom