Umiliki Wa account ya YOUTUBE inayo lipwa

Umiliki Wa account ya YOUTUBE inayo lipwa

Hapo muziki wake ni kupata subscribers tu.
Shukrani
Subscribers na views ni vitu viwili tofauti, sio lazima uwe na subscribers wengi ndio upate views nyingi, na sio lazima kupata views nyingi ndio utapata subscribers wengi.
 
Subscribers na views ni vitu viwili tofauti, sio lazima uwe na subscribers wengi ndio upate views nyingi, na sio lazima kupata views nyingi ndio utapata subscribers wengi.
Ndiyo naelewa mr ndiyo maana nikasema muziki nikupata subscribers.
Mtu anaweza kuangalia video yako lkn asiweze kusubscribe channel yako kwahiyo ni kazi. Kupata viewers ni rahisi lkn subscribers inahitaji juhudi
 
Njoo PM nikusaidie kwa karibu.

Mimi ninamiaka miwili sasa nakula hela ya YouTube.
niaje kk mm pia nina mpango wa kuanzisha chanel yang axe ebu nipange
 
Fungua tu mzee km unataka software za live streaming tumia
Obs
Wirecast(costful)
Xsplit

Enjoy
 
Ndiyo naelewa mr ndiyo maana nikasema muziki nikupata subscribers.
Mtu anaweza kuangalia video yako lkn asiweze kusubscribe channel yako kwahiyo ni kazi. Kupata viewers ni rahisi lkn subscribers inahitaji juhudi
Mkuu ulifungua YouTube account?
 
vipi ukifungua ukawa unaweka matangazo yako ya biashara???? mkuuu
Ya biashara halali.
Ila sheria zimebadilika mana kila mtu alikuwa anaweza kufkisha viewers 10000, now wanaangalia watch hours.
 
Kwa sheria za tcra garama za kusajili zipoje wakuu
 
Akajifunze Google au YouTube kuna tutorials kibao ndo nilitumia mimi mpaka leo nakula hela kwa kuiba video za wengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom