Umiliki Wa account ya YOUTUBE inayo lipwa

Hapa unataka kuongelea mf. Rais anaongelea jambo flani then watu wanataka wapandishe video za hicho kitu kupitia YouTube A/c zao. Si ndio /
ndio
maana unaweza kukuta video hata mia za tukio moja tu sasa nani mwenye hatimiliki na hiyo video?
 
Kila mtu anarekodi na kifaa chake na editing pia then anapandisha.
Copyright kwenye video always inakuwa claimed kwenye video husika. So as long as kila mtu ameweka video yake aliyotengeneza kwa kifaa chake. Hakuna shida na si kila mtu ana claim video kuwa mtu mwingine akiiweka monetize revenue iende kwa mhusika.
 
kwanza unatakiwa uwe na kadi ya benk unayo mkuu ?
 
Nishawahi kuchukua video ikiweka kwenye adobe kumodify kwa kutoa logo na kuweka yangu na kupandisha still ikasema ina copyright kwa mtu flani. Now days youtube wame update Policy, Track na vitu kibao tu. Njia nzuri ni kutengeneza video yako tu
YouTube wanatumia sauti Ku detect kuwa video ni yamtu mwingine

Kama unatumia adobe hakikisha unaweka background track au ondoa hiyo sauti weka yako kama ni tutorials

Video ngumu kuzi share in za mziki kwani inahitaji complicated modification and trick ila za habari au tukio ni very simple
 
Hii elimu nimeitafuta muda mrefu, mkuu ubarikiwe sana.
 
YouTube wanatumia sauti Ku detect kuwa video ni yamtu mwingine

Kama unatumia adobe hakikisha unaweka background track au ondoa hiyo sauti weka yako kama ni tutorials

Video ngumu kuzi share in za mziki kwani inahitaji complicated modification and trick ila za habari au tukio ni very simple
Hapo naweza kuunga hoja course kuna baadhi ya video uwanatoa background audio na kuweka mpya. Mambo uwa fresh kabisa.
 
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...

Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo ....ufunguaji wa akaunt ...uendeshaj wake na mfumo wa malipo yao ukoje ?
ingia youtube, bonyesha userr icone iliyoko upande wa kulia juu
kumbuka lzima uwe na gmail account na uwe ume sign in kwa wakati huo. ukiwa na gmail email jua tayari una gmail account.
bonyeza alama ya gia ile inayoashiria settings
chagua create a new channel
chagua use business or other name
weka jina na brand yako kisha bonyeza create.
baada ya hapo kazi kwako kuitangaza ili upate watembeleaji na watu waliojisajili kwenye channel yako.
kumbuka inatakiwa uwe unaweka videos zako mwenyewe ili upate kulipwa zinapotazamwa na watembeleaje. ukiweka video ya mtu mfano mwanamuziki hutopata kitu mapato yake atapewa yeye yani yatajumlishwa kwenye mapato ya channel yake.
 
Njia ya kupokelea mpunga inakuwaje?
 
Njoo PM nikusaidie kwa karibu.

Mimi ninamiaka miwili sasa nakula hela ya YouTube.
We jamaa acha roho mbaya, pm ya nini..?! Unataka umuombe pesa huko pm? Inashindikana nini kumuelekeza hapa ili na wengine wenye uhitaji kama huo wanufaike pia? Wewe toa huduma hapa jukwaani kama uwezi acha utapeli wa pm...!
 
Unawekea bank au western union utachagua mwenyewe.
Sio kazi nyepesi ila inawezekana
Shukurani mr.
1. Vipi kuhusu Crdb ina support kupokelea mpunga?
2. Masharti yakoje kwa sasa ya kufungua account youtube nilisikia yamebadilishwa tofauti na zamani?
 
Yes inapokea tu mkuu.
Masharti ni kawaida nimefungua juzi juzi tu kama mwezi mmoja uliopita japo sijapost chochote mpaka sasa.
Kumbuka utahitaji youtube adsense account kwa ajili ya kupokea matangazo ya google.
Hope na wengine watachangia zaidi
 
Mkumbuke kuwa unahitaji subscribers 1000 na masaa 4,000 ya maangalizi kwa mwaka kabla ya kuweza kuapply kuweza kulipwa kwa ajili ya video zako.
 
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...

Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo ....ufunguaji wa akaunt ...uendeshaj wake na mfumo wa malipo yao ukoje ?
Usisahau kuhusu 9 M
 
Mkumbuke kuwa unahitaji subscribers 1000 na masaa 4,000 ya maangalizi kwa mwaka kabla ya kuweza kuapply kuweza kulipwa kwa ajili ya video zako.
Kwan ni lazima ufikishe mwaka? Je, nikifikisha hayo masaa kbla ya mwaka na subscibers mwezi wa 6 naweza kujiunga?
Siku-24hrs
mwezi-30days
30x24=720 masaa ya mwezi
720x6=4320 miezi 6 napata 4320hrs
 
Ni masaa ya watu kuangalia video zako sio muda tu kupita, kwa hiyo kama una video moja ya saa 1 inabidi iangaliwe mwanzo hadi mwisho mara 400 ndani ya siku 365 ufikishe masaa 4,000 ya uangalizi kwa mwaka.
 
kwa mfano video moja ikiangaliwa masaa 2000, nyingine 2500 ukijumlisha hapo unapata 4500. Au wanataka video mmoja tu iliyoangaliwa masaa 4000?
 
Back
Top Bottom