Umiliki Wa account ya YOUTUBE inayo lipwa

Pitieni link hizo hapo chini kwanza utafahamu
:kutengeneza account ya youtube na kuwa na channel yako

😛ili utafahamu jinsi ya kupost video youtube na taratibu zake

:tatu utafahamu jinsi ya kuomba adsence uanze kulipwa na vigezo vyake

:nne utafahamu jinsi ya kupata real viewer wengi kwenye account yako

karibu

Daudi Gibson:
How to Link AdSense to Your YouTube Account How to Link AdSense to Your YouTube Account - Entertainment

How to Earn Money on YouTube How to Earn Money on YouTube - Technology for beneficial

How to Get More Views on Your YouTube Videos How to Get More Views on Your YouTube Videos - Technology for beneficial

usisahau kuffollow ili nikituma habari upate haraka na kuclick matangazo.
 
Asante mkuu
 
Duuuhhh....vyuma vimekaza kweli sasa udaku utaongezeka YouTube ili watu wapate ela
 
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...

Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo ....ufunguaji wa akaunt ...uendeshaj wake na mfumo wa malipo yao ukoje ?
Nicheki nikupe maujuz na tricks simple tu 0758217840
 
watu wanachofanya wanaiba video za watu youtube wanadownload.. wanaziedit maandishi tu kisha wanazi upload kwenye account zao then wanapiga hela...

kuna jamaa anaitwa log out tv.. anapiga ma views balaa kwa video za watu tu. ana subscribers kama millard ayo vile huku hana video hata moja ya kwake halali
Nakusahihisha brother jamaa haibi video ila anachofanya no credit video mfano millardayo video zake zina copyright hivyo uki upload utaona ads kwenye video zako ila pesa itaenda kwa Millard

Njia za kufanya ili video isiwe na copyright kwanza hakikisha unatumia video cropper nzuri
Pili video zote ambazo sio zako jitahidi kuziwekea track ambayo itafanya system ya YouTube ishindwe kutambua kua video tayari IPO YouTube
Tatu kama una editor nzuri kama adobe premiere au Sony Vegas basi jitahidi kuweka logo yako

Mwisho tuspende kucopy video za watu bila kuwa credit wahusika
 
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...

Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo ....ufunguaji wa akaunt ...uendeshaj wake na mfumo wa malipo yao ukoje ?
Njoo nikuuzie channel ina Adsense
 
JIBU SWALI NDIO MAANA ULIFELI HEASBU
konyagi-jama anasoma.jpg

Inahitajika nguvu ya ziada mpaka kufikia hatua ya kulipwa...
Nauza ya kwangu ina subscribers 270 na tutorials kibao nshapost bei 50k
 
WATU KAMA HAWA WAOGOPE.WANAOPENDA BIASHARA ZA GIZANI WAKATI WEWE UMEOMBA MSAADA KWANINI ANAOGOPA KUTOA USHAURI KILA MTU AUONE KAMA NI WA KWELI NA SIO UTAPELI.ETI NJOO NIKUSAIDIE KWA KARIBU !!!
Njoo PM nikusaidie kwa karibu.

Mimi ninamiaka miwili sasa nakula hela ya YouTube.
 
Yangu ina subscriber 560 na views zaidi ya laki. Naweza kupiga mpunga kiasi gani kwa mwezi?
inategemea video ina dakika ngapi na views wangapi kama inadakika 10 na yangu inadakika 3 views sawa wenye dk 10 atazidi mpunga
 
WATU KAMA HAWA NDIO HUWA WANAFANIKIWA KIPINDI HIKI KWANI WAPO WAZI.ASANTE MKUU.SASA WALE MATAPELI WA NJOO PM NIKUSAIDIE VIZURI MTABAKI NA AIBU YENU.KILA KITU MNAFIKIRIA JINSI YA KUIBA
Asante mkuu
 
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...

Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo ....ufunguaji wa akaunt ...uendeshaj wake na mfumo wa malipo yao ukoje ?
Karibu katika tasnia ya Tech,
Pili moja kwa moja kwenye hoja yako kumiliki account YouTube ni rahisi sana. Tembelea Tovuti Ya YouTubedotcom
Mtu yeyote anaweza kuwa na Youtube chaneli yake binafsi hivyo kuweza kuweka video mbalimbali na watu kuweza kuona hivyo kujulikana na hata kulipwa kutokana na idadi ya watu wanaotazama video zako (views). Jambo la msingi na muhimu kuzingatia ni kuwa na barua pepe na kama hauna basi ni muhimu kuwa nayo.
Hatua 1
Tembelea tovuti ya Youtube. Upande wa kulia juu una sehemu mbili; kama hauna barua pepe au kama tayari una barua pepe ya Gmail unabonyeza “Sign in”.
akaunti ya kibiashara ya youtube" Jaza sehemu zote kutengeneza barua pepe kama hauna ila kama tayari una barua pepe basi bonyeza “Sign in”.
Hatua 2
Baada ya kusign in bonyeza "My channel” kisha bonyeza Use a business or other name. Hapa utaweza kutengeza akaunti yako ya kibiashara kwenye Youtube.
Hatua 3
Chagua jina lako la kibiashara. Hapa ndio sehemu muhimu sana kwani lazima uchague jina rahisi ambalo litakuwa ni rahisi kukumbuka. Ni muhimu sana jina lako la kibiashara lisiwe refu
Jina lako la kibibashara likiwa la kuvutia pamoja na vitu ambavyo unakuwa unaweka kwenye chaneli yako ya Youtube itakuwezesha kuwa na wafuasi wengu (subscribers).
Kumbuka kuweka video ambazo hazitakuleta matatizo ya kuwa na hakimiliki ili kuepuka matatizo mbalimbali ya mitandaoni na kuanza kuingiza kipato bila ya wasiwasi cha msingi tu watu kutazama video unazoziweka.
 
watu wanachofanya wanaiba video za watu youtube wanadownload.. wanaziedit maandishi tu kisha wanazi upload kwenye account zao then wanapiga hela...

kuna jamaa anaitwa log out tv.. anapiga ma views balaa kwa video za watu tu. ana subscribers kama millard ayo vile huku hana video hata moja ya kwake halali
YouTube ilishatatu hilo tatizo zamani sana labla anayepandisha hiyo video kupitia channel yake (Mmiliki halal) haja hii claim video kuwa ni yake but kama amefanya hivyo hata hukipandisha video yake pesa utakayoipata itakwenda kwa muhusika. Ni sawa na kupiga deki bahari course work done is equal to zero. Sema utagain income ya subscribes tu ambayo si nyingi.
 
Nakusahihisha brother jamaa haibi video ila anachofanya no credit video mfano millardayo video zake zina copyright hivyo uki upload utaona ads kwenye video zako ila pesa itaenda kwa Millard

Njia za kufanya ili video isiwe na copyright kwanza hakikisha unatumia video cropper nzuri
Pili video zote ambazo sio zako jitahidi kuziwekea track ambayo itafanya system ya YouTube ishindwe kutambua kua video tayari IPO YouTube
Tatu kama una editor nzuri kama adobe premiere au Sony Vegas basi jitahidi kuweka logo yako

Mwisho tuspende kucopy video za watu bila kuwa credit wahusika
Nishawahi kuchukua video ikiweka kwenye adobe kumodify kwa kutoa logo na kuweka yangu na kupandisha still ikasema ina copyright kwa mtu flani. Now days youtube wame update Policy, Track na vitu kibao tu. Njia nzuri ni kutengeneza video yako tu
 
na vipi kuhusu video za public kama hotuba za viongozi au marais? copyright inakuwaje?
 
Hapa unataka kuongelea mf. Rais anaongelea jambo flani then watu wanataka wapandishe video za hicho kitu kupitia YouTube A/c zao. Si ndio /
 
Back
Top Bottom