Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Mkuu hayo ni mazoezi ya kukata kiuno (mazoezi ya kisayansi)!Siyo mazoezi,sanasana anatangaza masaburi yake au cameroon yake!
Kisamvu cha kopo/kuchuma mboga.hii style ni ya nini
hii style ni ya nini
afu yupo Gesti hapo! naona tag ya please dont disturb kwenye kitasa! jamaa alifaudu sana!