Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,764
- 21,664
chaiWakuu habari zenu,
Binafsi nikikumbuka mpka nasema kweli Mungu yupo. Yule dada alikuwa mchawi kweli kweli na kila mtu alimuogopa. Mimi baada ya kutoka chuo nikaenda kumtembelea babu kijijini mitaa ile nikamuona binti mrembo balaa nikasema huyu ndo level za sisi wasomi.
To make story short. Baada ya kumuomba mbususu tukaenda guest bhana ile anavua nguo namuona ana mahirizi kama yote, mara Chale mwili mzima.
Nikamuaga naenda kukojoa huku nasema kimoyomoyo FIRE FIRE FIRE (bahati nzuri haikuwa self) ndo ikawa mazima na nikamblock. Kesho yake niliaga kwa babu nikamwambia nimepata dharula nikasepa zangu huku nikiwa na hofu tele.
Wewe ilikuwaje?