Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?

Sasa kama upo tayari kufa, Huoni hii kutamani "forever young" hakuna tija, faida wala msingi?

Kwa sababu kutamani forever young ni ili ufarahie huo u-young.

Sasa ukishakufa, utawezaje kufurahia
u-young?
 
Sasa kama upo tayari kufa, Huoni hii kutamani "forever young" hakuna tija, faida wala msingi?

Kwa sababu kutamani forever young ni ili ufarahie huo u-young.

Sasa ukishakufa, utawezaje kufurahia
u-young?
Oyaaa kwani veep chill broo
Nini usichoelewa mkuu 🙌🏼🙌🏼
 
If you are already dead, How can you enjoy your youngness?
 
🙏🙏
Ulianza kuzeeka una 20 😅😅 chai
Mkuu unanionea tuu, kuota mvi at your 20's au kuota kipara at your 20 nayo itakua chai maziwa kweli😔😔💔
Naunga mkono hoja kasoro hapo kwenye miaka 100 hapana

Jamani si nataka kuwa immortal 😂😂😂

Hongera sana
Thanks mkuu

Mkuu paka mafuta bana
Sijazoea kupaka mafuta mkuu, mara ya mwisho nilipakaa baby care 😂😂😂

Nzuriiiii hii nyama 🔥
Nyama😋😋🔥🔥🔥

Karibu mkuu 🙏🙏🙏
Nimekaribia mkuu🙏
 
🙏🙏

Mkuu unanionea tuu, kuota mvi at your 20's au kuota kipara at your 20 nayo itakua chai maziwa kweli😔😔💔
Kwahiyo saivi una hali gani 😅😅(chai)
Jamani si nataka kuwa immortal 😂😂😂
Aiseee
Thanks mkuu


Sijazoea kupaka mafuta mkuu, mara ya mwisho nilipakaa baby care 😂😂😂
Hujazoea kupaka ila mara ya mwisho ulipaka baby care I wonder
Nyama😋😋🔥🔥🔥


Nimekaribia mkuu🙏
Safii
 
Ushawahi kusoma au kusikia habari za The Fountain of Youth?chemchem ambayo ipo Bimini Bahamas ukinywa maji yake unakua kijana milele??..
 
Binti wa zamani bhana hapendi kuzeeka 🤣🤣🤣🤣🤣 mama wamizagamuano, Asante jihan Asante tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Sijawahi kusoma
Napata wapi hiyo nakala?
Google kaandika jamaa alikua
Spanish explorer anaitwa Juan Ponce karne ya 16..

But yo kuna nadharia zinafundisha namna ya kua kijana milele,mwili unazeeka but moyo wa kijana na akili za kijana,.anza kujifunza kitu kinaitwa Good Stress.
 
Yani hiyo hata sitengui!
nimeona watu wakiteseka na maradhi japo siombei lakini sihitaji.
na serikali yetu iangalie kama mtu anahitaji kufa kabla ya wakati iwepo hiyo huduma kabisa
Hapana sista sio lazima serikali iseme, unaingia zako nddani koroha zako segment kunywa funga mlango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…