Hahaha...........hizo shikamoo we zipokee tu, hazina shidaSalamu napokea vema japo Kuna wengine naona too much jamani unakuta mtu ni mumama kabisa nae ananambia shkamoo 🤔
Huko gym si mnasemaga tutaliwa jamani au?Hahaha...........hizo shikamoo we zipokee tu, hazina shida
Ila kama una mwili mnene mnene, anza kuupunguza kwa tizi
Kama huna kiingilio cha gym, tuarike Wazee tulipe namba 🤪
Ni kweli mkuuni kweli kbs lakn misiba ya vijana huwa inamasikitiko sana tofauti wa wazee kifo kwa kijana ni kama emergenc marehemu mwenyew humkuta akiwa hata hana habari tofauti na wazee ambao akiri yao hujiwewa tayari kwa lolote
Uzuri wake hawaondoki nayo 🤭🏃🏃Huko gym si mnasemaga tutaliwa jamani au?
Mtu unakuta ka ng'ang'ania miaka 30 bongo movie haoMi hata miaka 30 tu nlikua sitamani kufika achilia kuzeeka......
Yani sahivi nawaelewa wanaokataaga umri na wengine kuficha, kuna muda nkiwaza tu umri wangu nachoka mie
Aiseee ukubwa unakuja na mzigoMaisha mazuri ni yale kabla hatujakuwa na fikra hizi tulizonazo,utoto yani...Uzee sio kitu cha kutamani,ukiangalia mfumo wa maisha na muda basi sidhani kama ingekuwa ni chaguo letu tungekubali kuwa duniani.
Nikisema hivyo huwa naambiwa nimeanza kulewa.. naamini huko mbeleni watakuja kunielewaMbona mna tutamanisha dear😊
Enjoy mamaa🔥🔥
Karibu ukiingia hapa utaelewa
Hongera sana 🤗
Aisee wengine skincare sio vitu vyao ni kama wewe hapo ukitumia unaona unabadili asili yako
kabisa yaani
Wengine pia naona hua hawana mvi sana labda wazeeke sana
Alooo walikuelewa?
Naamini hawawezi kufanya hivyo
Ni lulu tu ndio umri unasogea wengine wote wamegomaMtu unakuta ka ng'ang'ania miaka 30 bongo movie hao
Yaani nimeanza kuawaona mimi ni mdogo nawakuta hapo hapo 😅😅🙌🏼
Wanakodisha tu kwa muda, au sioUzuri wake hawaondoki nayo 🤭🏃🏃
Mwadela ngikuru36 -37 hivi - miaka ya raha sana hiyo, nina sababu nyingi sana za kutamani kurudi hapo!
Vimvi vimeanza ila nikienda kusuka nawaambia wavichomoe maana vimeanzia katikati ya kichwa 😂😂😂
Kupunguza uzito, kunywa maji sana, kula high fiber food na balanced diet kwa ujumla, gym mara 2 kwa wiki kumantain healthy muscles.
Kuzeeka hakukwepeki, tunasogeza muda tu maana inside bado we feel young.
Hapana nisingechagua, nikifikisha 70 nikavuta 🪦nitashukuru, sitaki kutembelea mkongojo!
Tumekaribia 😅
Tena ukipigiwa simu akiwa kifuani, ndiyo inalala hapo hapo 🤭Wanakodisha tu kwa muda, au sio
Wanawake wakizeeka shughuli amna tenaMi hata miaka 30 tu nlikua sitamani kufika achilia kuzeeka......
Yani sahivi nawaelewa wanaokataaga umri na wengine kuficha, kuna muda nkiwaza tu umri wangu nachoka mie
Kuwa na akili nako ni mzigo mda mwingine maana ina geuka kuwa egoKutamani kuwa forever young ni extremely selfish.
Yani unataka wewe tu ushikilie nafasi ya kuishi, wengine waishi wapi?
Ishi, zeeka, kufa, achia wengine nafasi ya kuishi.
Shughuli gani?Wanawake wakizeeka shughuli amna tena
Sijui nielezee vipi lakini potensho inakuwa %chache sanaShughuli gani?
Ila Kiranga bwana🤣🤣 kwamba akubaliane na hali kuwa kuzeeka na kufa tu sioHayo si maoni, hizo ni facts za kisayansi.
Energy can neither be created nor destroyed.
In order for the energy trapped in your body to be released for others to use it, you need to grow old and die.
Ukitaka kuwa forever young unakuwa selfish kung'ang'ania kuishi.
Kitu cha muhimu ni kuishi maisha yenye maana hata kama yana mwisho.