Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?Kwa intelijensia yangu hauko floor chache kufikisha 30 but uko kwny 30 unaelekea 40
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima π π ππΌ......hayo ndo mawazo hutukumba wenye umri huo....
Utu uzima mwenye siri yake ni wewe...π π π π kiddin...Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?
Kama ndio basi kwa mara ya kwanza umeenda kombo
Humu JF kuna watu tunajuana physically hao pekee ndio wenye kujua ukweli diha π€
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima π π ππΌ
Nikuokoteee mawe nikutandike hapa hapa π πUtu uzima mwenye siri yake ni wewe...π π π π kiddin...
Yeah nimekuelewa sema hii post yako imenikumbusha hizo moviesNatamani kuwe na sehemu ya voice
Sijaongelea kifo mbona jamani
Tena ukifika 30..yani 40 haichelewiππππNikuokoteee mawe nikutandike hapa hapa π π
Mwenzio nilidhani 30 mbali lolππββοΈ
Sawa mkuuYeah nimekuelewa sema hii post yako imenikumbusha hizo movies
Kabisa mkuuUzee hauepukiki!
Ni suala la muda tu
Hapana ule wa wakubwaUle wa dini?? Sijui makanisa
Kawaida ndio mambo ya jfHapana ule wa wakubwa
Moderator amesema kuna member ali u report hivi huyo mtu yupo timamu kweliKawaida ndio mambo ya jf
AMesababisba uzi wetu pendwa umefutwaModerator amesema kuna member ali u report hivi huyo mtu yupo timamu kweli
Sijui nimwendawazimu gani but umerudishwa hewani taarifa azipate ajitundikeAMesababisba uzi wetu pendwa umefutwa
Wameona umejaa pornBro Evelyn Salt ule uzi wamepita nao shwaaa
Umerudishwa bana πWameona umejaa porn
Uzoefu unaonyesha wanawake wengi wana tabia ya kuficha umri halisi. Mfano mwanamke akisema ana miaka 30, kiuhalisia utakuta ana 40. Na katika watu wanaochukia kuambiwa ni wazee basi ni wanawake.Kwanini dear niambie nikifika hapo nimalizie unachodhani ulibakisha
Jamaniii kati kati si hata hazionekani π π π ziache tu bana
Wow nzuri maa π
Nakumbuka picha yako zamani una mwili mzuri so sex babes
π₯π₯π₯
Mambo ya kua mzigo hapana
Mi pia sihitaji
My lovely Sister π