Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Ipi ni signature nzuri kati ya hawa wawili?

attachment.php

du !!! kweli jf never boring
 
Asante dear, na mimi nimefurahi kurudi... I should have come earlier, I feel so good to interact!

Good to see you as well

Huu mjadala wa signature ya NN ulikuwa mzito sana hapa JF miaka iliyopita...sikumbuki kama tulifikia muafaka kabisa.....kina Mwanakijiji, FMES, Pundit, Mwafrika wa Kike and the like...kifupi una a very long philosophical background, and of course heated debate..ila NN kama umjuavyo amestick to his words, nadhani hadi leo hakuna aliyeweza kumshawishi vinginevyo. So, Normatively kwen mjadala wa signature you cant miss this out
 
Unaweza kuwa na link yake ya kitambo..kwani nimewamiss wale kina Pundits nione walichangiaje......NN mgumu kweli huwezi mbadili kirahisi namna hiyo..kwa kile anacho kiamini.
 
Kuna signatures za wana jf members ukisoma unacheka sana, nyingine zinakusisimua ama kukuelemisha na kukupa something in your mind,

one of my best signatures of jf member is,
"nchi hii itajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno"
nitarudi kuweka na nyingine

na wewe, what is your best signatures of any jf member?

ukimkumbuka id ya mwenye signature tuambie pia, lakini kama humkumbuki sio lazima
 
naipenda ya Smile ile ya ingekuwa kila mtu anatoboka tundu akifanya ngono kuna wengine mngekuwa neti humu,sina hakika kama nimeipatia sawasawa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom