Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kutafakari kuhusu signature zilizopo JF?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kichuguu, Nov 13, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Kuna sehemu ya post ambayo mara nyingi huwa siisomi, nayo ni signature ya mwandishi. Leo nimekutana na post moja iliyokuwa inarekebisha signature ya mwana JF mwingine nikaamua kupitia signature mbalimbali, nyingine zinavunja mbavu kweli. Nimeamua kuzivuta zile nilizoweza kupata na kuziweka hapa:


  2005 Sikumpa Kura Yangu JK; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK. Kwa Sababu JK Ni Chekibobu. Siwezi Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa Chekibobu. Chekibobu Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu Chekibobu JK.

  The truth speaks for itself, it is always in 3-D


  Yesu ni Bwana, Kila goti litapigwa ... Huna unachoweza kufanya juu ya hilo!
  Umefikiria juu ya wapi utaishi milele kama ungekufa sasa hivi...tafakari, chukua hatua!


  IN EASY TIMES ANYONE CAN MAKE MONEY BUT IN DIFFICULT TIMES YOU CAN TELL THE MEN FROM THE BOYS.

  Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens


  Kama hukutakata MTONI usitegemee kutakata BAFUNI....:nono:......TONGE halichagui MBOGA....
  Kaizer@jamiiforums.com

  Exploration of reality

  KAMA SI BWANA ALIYEKUWA PAMOJA NASI ISRAELI NA ASEME SASA. (ZAB.124:1).

  "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  "Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker

  Enough is enough!

  If it tastes bitter, spit it out..

  Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo


  " Our lives begin to end the day we become silent about things that matter "

  Jino kwa Jino

  The hate of men will pass, and dictators die, and the power they took from the people will return to the people. And so long as men die, liberty will never perish Charlie Chaplin

  'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK

  I LOVE TANZANIA, THE LAND OF OPPORTUNITY!

  msanii@jamiiforums.com

  Where is my my Gun I wanna kill right now


  I'd rather die standing than live kneeling (Che guavara)

  "The whirlwinds of revolt will continue to shake the foundations of our nation until the bright day of justice emerges." Luther King jr

  ''I have come to the conclusion that politics are too serious a matter to be left to the politicians''. Charles De Gaulle (1890 - 1970)

  Surat Al Imraan 49, 56

  I am a public policy analyst based in Arusha, Tanzania

  GO Slaa GO

  [FONT=&quot]I can not vote for the President who doesn't know why his country is so poor

  [/FONT]
  BETTER DIE STANDING THAN LIVE ON YOUR KNEES
  "WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"

  Retired Maj Gen DC (1947)...dc@jamiiforums.com

  MWANAUME HASHINDWI AKISHINDWA HUYO NI WAKIUME TU.

  You can loose a lot of money while chasing women, but you never loose women when chasing money!


  [SIZE=+1]Venceremos. Patria o muerte![/SIZE]

  Follow the bee


  the more i learn the less i know

  Politics is supposed to be the second-oldest profession. I have come to realize that it bears a very close resemblance to the first.


  Dr SLAA BADO TUNAKUAMINI, TUNAKUHITAJI:yield:

  BILA RUSHWA..HAKI HAIPATIKANI....TOA RUSHWA UPATE HAKI.....(?)
  RUSHWA NA TANZANIA DAM-DAM.....!
  TAASISI IPI RUSHWA KWAO MWIKO?
  NASEMA KWA KUWA YAMENIKUTA......!

  MCHAKACHUAJI MAARUFU WA KURA


  Make love, not war....


  Hard work is a prison sentence if it does not have meaning..

  Outliers, Malcom G

  Umusilighwi-Omotangi.

  What Zidane Does With the Ball,Maradona Would Do With an Orange!!

  Don't trust a species that's always smiling, its up to something!

  It is not one's failings alone that produce self-mastery, but studying the causes of such failure, coupled with the persistent application of new methods  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG]
  Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
  Waliochangia 2010: <--- (click to read)
  JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
  :coffee:
  24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com
  [​IMG]


  GRADUATE WITH A's NOT WITH AIDS

  "UTAMU WA PIPI YA KIJITI NI MATE YAKO, UNATAKA KUNYONYA AU KURAMBA?":peep:

  Hatutajua chochote iwapo hatutahoji na kudadisi

  Just because presidents screws around, it doesn't make a president for screwing around..

  A number of YOU Voted for KLEPTOMANIACS, Don't ever complain for what You'll get!!!!


  Amani Iwe Nanyi,

  Camerlengo

  Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka

  "Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun

  'Who comes to give greeting to the Inkosi-kaas? Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas!"


  ~*~Life is Good~*~

  UCHAGUZZI UMEISHA, HONGERENI SANA WOTE MLIOMPA KURA DR. SLAA (PhD) ILI AIKOMBOE TANZANIA. PEACE, UNITY AND SOLIDALITY FOR TZ

  If you don't take time for wellness, you are going to have to take time for sickness.


  "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
  What a man is, survives him... it can never be buried"
  (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).  &#9834;&#9835; Bob Marley Acoustic Medley &#9834;&#9835; Dont gain the world and lose your soul wisdom is better than silver or gold
  The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

  MTU WA HAKI, Mwadilifu ni yule anayedhibiti hasira zake kwa tafakuri ya akili.

  Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....JK NYERERE


  "BINADAMU AMEFANANA NA UBATILI, SIKU ZAKE NI KAMA KIVULI KIPITACHO"
  zaburi 144:4  " The main thing is to keep the main thing the main thing"

  Sintamtambua Jakaya Kikwete kama rais wangu maana ni mteule wa NEC

  Whenever You find the KEY to success, someone changes the Lock.

  NEC ni tawi la CCM, kibaya zaidi wanachakachua kwa KASI ZAIDI (ELNINO)
  Nguruwe pita leo sina mkuki by Malila.  Ipende nchi yako, IKOMBOE! Tuma neno CHADEMA kwenda 15710
  Amsha Jirani, Pamoja Tunaweza!

  Try GOD:angel: if you won't like him the DEVIL[​IMG] will always take you back.

  Haki ni Msingi mkubwa wa Maendeleo na Mwizi na Mla Rushwa na Mhujumu Uchumi na Jambazi na FISADI wote hawatakiwi ktk jamii .[UNBEARABLE!]

  Good Plans are The Bridges 2 ur Dreams

  Nyanzala wangu nakupenda

  "Makalio ya sufuria hayaogopi moto"


  "Everyone thinks of changing the world, but no one thinks of changing himself"  CHADEMA NA MIMI..MIMI NA CHADEMA... MPAKA KIELEWEKE MABADILIKO TZ...
  a.k.a. mImI:peace::peace::peace:


  "To accomplish great things, we must not only act, but also dream; not only plan, but also believe." - Anatole France:car::amen:


  I PREFER LIBERTY WITH DANGER THAN PEACE WITH SLAVERY  Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
  But, if you think again, neither does milk."
  Vituko Vya Zenj


  NIMEZALIWA ILI NIFE. Nawaheshimu wote lakini simwogopi yoyote. Nawachukia mafisadi, wanafiki, waropokaji, waongo, wanaotusi wenzao...


  I am INSURED by the MAFIA mob, You hit me, We hit you...:israel:

  Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo

  Poverty is not socialism. To be rich is glorious. Deng Xiaoping

  The most important battle to fight is to overcoming your own demons, fears, and insecurities--------Ghandhi


  IVUGA--Teja la JF


  [FONT=&quot]mwanakijiji@jamiiforums.com
  Ni nani kwenu ambaye kabla ya kujenga mnara hatokaa chini na kuhesabu gharama?
  [/FONT]


  Miafrika Ndivyo Tulivyo - "[FONT=Georgia, serif][FONT=Arial, Verdana, Geneva, Helvetica, sans-serif][FONT=Arial, Verdana, Geneva, Helvetica, sans-serif]Though this be madness, yet there is method in it."[/FONT][/FONT][/FONT] - From Shakespeare's Hamlet

  Usichezee kazi, chezea mshahara.


  Kama kuchakachua haramu, basi chadema imepata dhambi nyingi. kama kuchakachua ni dili, chadema ingalichukua nchi.kuchakachua eti kuchakachua, aah kuchakua
  tuyaache yaliopita tuijenge tz yetu.
  Fanya kazi jk, watz tupo nyuma yako


  I'm no psychologist but surely misplaced optimism can lead to a state of delusion

  Thank God for what you have. Trust God for what you need.

  One should be careful about seeking quick solutions to complex questions.

  "Man must understand his universe in order to understand his destiny..." Neil A Armstrong.

  **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**:cheer2:
  Chuda Raha:welcome:

  Email: fidel80@jamiiforums.com


  " ... wao wana pesa, sisi tuna Mungu ... " (Godbless Lema, MB):peace:

  "Be an example.." 1 Timothy 4:12

  Innovators are people who are lazy and luxury mongers by nature but they have to work very hard to innovate ways to make life easy and comfortable (Nyikanavome 2010).


  "I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you."

  'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

  Don't tell GOD how big your STORM is&#8230;.tell the STORM how big your GOD is!!!
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii

   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ya kwako nayo imeongezwa kwenye list.
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Soma ya Sikonge.
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ngoja niitafute
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa NYANZALA WANGU NAKUPENDA... umenikuna sana yaaani kama ni kisu basi kimegusa mfupa
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hehehe hehehe mie nilibadilisha ya kwangu kupromote email yangu mpya ya jf lakini wachumba wamenikimbia
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hivi siginecha ni kitu permanent au temporary?
   
 9. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,444
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Zinafuraisha
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ..na zinafundisha either.
   
 11. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Nyanzala is a name of my lovely mum, a mother above all mothers...
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Na mie nimefurahi pia
   
 13. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Umekusanya signatures halafu ufanye analysis gani????
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa basi huyo ndo shemeji yenu.....
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huyu Nyanzala atakuwa Mnyamwezi kama Sikosei..........

  Ni jina maarufu sana huku kwetu Sikonge............. Nilipoliona, nikageuza shingo.
   
 16. Valid_Options

  Valid_Options Member

  #16
  Nov 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah Nyanzala ni jina la Kinyamwezi kuna dada mmoja alikuwa anaitwa hivyo na alikuwa GF wangu ni Mnyamwezi wa Vumilia katikati ya Urambo kwa mh. 6 na Kaliua kwa mh. Kapuya
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Nimeongeza na ya kwako kwenye list; nitaka kujua vituko vya Zenj kuwa na vyama viwili vya saisa vilivyogawana serikali lakini kimoja kinaitwa eti chama cha upinzani, sijui kinapingana na nini kama chenyewe kinaongoza serikali
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Ya kwako pia imeongezewa kwenye list
   
 19. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #19
  Nov 13, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  sigecha yako pia imesharekodiwa
   
 20. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  KWELI HAPA NI [​IMG]
   
Loading...