Umewahi kusikia mashndano haya?

mtamanyali

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,161
613
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji almanusura atwae kombe! Na ndipo mshndi wa kwanza alipojitokeza na kuwafunika wote kwa kula ugali mkubwa na ugali mdogo kama mboga!
 
kudadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
mkuu umeikosha roho yangu, huyo wa ugali mkubwa kwa ugali mdogo ni noma. Ila nitarudi baadae kidogo
 
Aithee,mbona mmemtotha yule mpare aliyekula ugali kwa stori sa thamaki!
 
Hapo lazima ugali wa kisukuma ulikuwa 'ugali' na ugali wa Tanga na kwingineko ulikua mboga....Huyo kweli mshindi halali sio best 'luza'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom