Emalate to Ethiopia nilipo fika Ethiopia nikaunganisha Ethiopia to Dar es salam hivi vile vimeza vya kulia chakula ndani ya ndege why wasiruhusu abiria wajiegemeze kidogo aisee maana siku ile nilitamanii nikalie kichwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilisafiri Kwa saa 12 kutoka Johannesburg South Africa hadi Sydney Australia. Hakika ilikuwa amazing kwani tuliondoka saa 4 usiku na kuwasili saa 12 jioni kwa saa za Australia!
Mkuu abudhabi toka dar huwa inatua etihad pekee, hiyo route pia nishapita, huwezipata ndege inatoka dar kwenda abudhabi. Wana ndege zaondogo kama airbus a320 ukifika hapo unakutana na a380 kwenda miji yenye wateja wakubwa